Picha: Hawa ndio walipuaji mabomu Arusha

Picha: Hawa ndio walipuaji mabomu Arusha

ukitaka uwe gaidi au jambazi bila kushikwa haraka usiguse wahindi

kila aliyekorofisha wahindi tanzania hakufika hata wiki alidakwa na kushughulikiwa.... nilipata hiyo fact kutoka kwa mhindi mmoja alikua keshakunywa amelewa

na alitoa mifano zaidi ya kumi kwa kila aliyemdhuru mhindi, alishughulikiwa hata kama ni traffic offense...

Uliweza kupeleleza mbinu inayotumika ili tuitohoe nasi wabongo.
 
chadema semeni sasa;
Je kwa hilo nalo mtakataa?
Lema ukoo wa lema yaani familia ya lema godbless, looh.
Mngeweza huyo lema mngembadilisha jina mapema;

yaani wewe mbinti tangu uvuliwe chupi na yule gongo la mboto basi na uwezo wa kufikiri alikuvua kabisa hukuwa na uwezo wa kuwaza kipumbavu pumbavu hivi..masiki leo hata tahira anakushinda kupembua mambo...
 
Inshaalah haki itajulikana kama kweli wanahusika au ni usaniii mwingine polisi

kila mwenye akili timamu hawezi kuunga mkoni mauaji ya watu wasio na hatia na hawezi kuwahukumu au kuwatukana kundi la watu kwa makosa ya watu wengine. Udini unaopandikizwa na baadhi ya watu utaleta maafa makubwa katika nchi yetu na duniani kwa ujumla.

Mwenyezimungu ibariki tanzania,

Mkuu unajua kuna wakati ukiangalia hali halisi unaweza kuwa na mashaka sana, ukiangalia hizo picha unashindwa kujua nani ni gaidi na nani si gaidi. Katika hali ya kawaida watu wanaooneshwa kwenye picha ndio wanaofanya ugaidi, lakini tukikumbuka huko nyumba hao jamaa walioshika bunduki ndio waliohusika na ugaidi, sasa inakuwa vigumu kujua nani ni nani...nakubaliana na wewe isijekuwa ni usanii.
 
Ningeshangaa kama jina la Lema lisingejitokeza

Sijawahi kusoma post yenye ujumbe wenye akili kutoka kwa mtu huyu unao wafaa GREAT THINKERS! Na siku akileta thread hiyo nadhani ndio utakuwa mwisho wa Dunia.kuna wakati huwa najiuliza hivi ukiwa ccm maana yake usitumie akili?
 
chadema semeni sasa;
Je kwa hilo nalo mtakataa?
Lema ukoo wa lema yaani familia ya lema godbless, looh.
Mngeweza huyo lema mngembadilisha jina mapema;
I am shocked... ni siasa tu zimekutoa fahamu kiasi hiki?
 
chadema semeni sasa;
Je kwa hilo nalo mtakataa?
Lema ukoo wa lema yaani familia ya lema godbless, looh.
Mngeweza huyo lema mngembadilisha jina mapema;

huko NYUMA haukuwa hivyo umeharibika sana.. jirudi
 
naombeni kuuliza hivi ndevu zina uhusiano gani na UGAIDI!?
 
mabomu na wasilam ni kama plau na kachumbari
 
Back
Top Bottom