I am shocked... ni siasa tu zimekutoa fahamu kiasi hiki?
Inshaalah haki itajulikana kama kweli wanahusika au ni usaniii mwingine polisi
kila mwenye akili timamu hawezi kuunga mkoni mauaji ya watu wasio na hatia na hawezi kuwahukumu au kuwatukana kundi la watu kwa makosa ya watu wengine.
Udini unaopandikizwa na baadhi ya watu utaleta maafa makubwa katika nchi yetu na duniani kwa ujumla.
Mwenyezimungu ibariki tanzania,
Osama angekuwepo ungemuulizaHivi hizo ndevu na ugaidi vinamahusiano gani?
naombeni kuuliza hivi ndevu zina uhusiano gani na UGAIDI!?
hujui ufanyacho lema ni jina ukoo hawa magaidi n makada wa ccm jina la lema halina uhusiano wowote na mbunge wa arusha mjini godbless lema naona hawa wanafiki ccm wameshaanza upotoshaji kuhusu hilichadema semeni sasa;
Je kwa hilo nalo mtakataa?
Lema ukoo wa lema yaani familia ya lema godbless, looh.
Mngeweza huyo lema mngembadilisha jina mapema;
Inshaalah haki itajulikana kama kweli wanahusika au ni usaniii mwingine polisi
kila mwenye akili timamu hawezi kuunga mkoni mauaji ya watu wasio na hatia na hawezi kuwahukumu au kuwatukana kundi la watu kwa makosa ya watu wengine.
Udini unaopandikizwa na baadhi ya watu utaleta maafa makubwa katika nchi yetu na duniani kwa ujumla.
Mwenyezimungu ibariki tanzania,
Hivi hizo ndevu na ugaidi vinamahusiano gani?
Great thinkers
udini umetawala uzi, chuki za wazi wazi dhidi ya uislam zinajidhihirisha, yaliyomo vifuani mwa wenye chuki ni makubwa kuliko wanayoyadhihirisha bila shaka, uislam hauruhusu matukio ya kigaidi hata kidogo bali nakubali kuwa baadhi ya waislam wanafanya ugaidi kwa matamanio ya nafsi zao wenyewe na siyo dini inamuongoza au inafundisha hivyo, uislam uko tofauti na wayafanyayo baadhi ya waislam, sishangai wenye chuki hawa wakishangilia mauaji ya watoto wadogo huko palestina kisa tu wanaamini kuwa ni waislamu peke yao wanakufa, waisrael hawaitwi magaidi kabisaaaaaa.....
Great thinkers, ndevu hazina uhusiano na ugaidi bali ndevu zina uhusiano mkubwa sana na UANAUME. na hiyo ni MOJA KATI YA tofauti ya mwanamke na mwanaume.
wahusika waliokamatwa kuhusiana na matukio ya arusha wabanwe na waseme wapi wanayatoa mabomu hayo na mtandao mzima ukamatwe, na kisha wahukumiwe kulingana na makosa yao hayo kisheria, bila kujali dini zao. Ikibidi wapotezwe tu.
naombeni kuuliza hivi ndevu zina uhusiano gani na UGAIDI!?
Hawa ni ma qureshi kaka