Picha: Hawa ndio walipuaji mabomu Arusha

Picha: Hawa ndio walipuaji mabomu Arusha

Inshaalah haki itajulikana kama kweli wanahusika au ni usaniii mwingine polisi

kila mwenye akili timamu hawezi kuunga mkoni mauaji ya watu wasio na hatia na hawezi kuwahukumu au kuwatukana kundi la watu kwa makosa ya watu wengine.

Udini unaopandikizwa na baadhi ya watu utaleta maafa makubwa katika nchi yetu na duniani kwa ujumla.

Mwenyezimungu ibariki tanzania,

Mskie huyu
 
hivi wanaodhibiti kuingizwa hivyo vitu wako kwenye serekali inayoongozwa na chama gani?
 
Magaidi nawachukia kupita maelezo........... Mungu atusaidie kuwatambua na kuwasafisha katika nchi yetu
 
chadema semeni sasa;
Je kwa hilo nalo mtakataa?
Lema ukoo wa lema yaani familia ya lema godbless, looh.
Mngeweza huyo lema mngembadilisha jina mapema;

Kumbe hata wewe huwa una akili finyu?! Sheria haitambui dini yao, kabila, rangi au itikadi zao za kisiasa!! Watahukumiwa kwa makosa yao! Acha uchochezi!
 
Mkuu unabishana na mbibi aliyekwisha fyatuka

Mi mwenyewe nimemshangaa, badala ya kupinga vita dhidi ya ugaidi. Yeye anadili na chadema hasa wanaume.
 
Inshaalah haki itajulikana kama kweli wanahusika au ni usaniii mwingine polisi

kila mwenye akili timamu hawezi kuunga mkoni mauaji ya watu wasio na hatia na hawezi kuwahukumu au kuwatukana kundi la watu kwa makosa ya watu wengine.

Udini unaopandikizwa na baadhi ya watu utaleta maafa makubwa katika nchi yetu na duniani kwa ujumla.

Mwenyezimungu ibariki tanzania,

terrorist
 
Ukitizama hizi ndevu tunazofuga sisi watu wa kawaida zina utofauti mkubwa na zile wanazofuga wenzetu wanaoamini kufanya hivyo ni suna. Si wote wanaofuga ndevu kwa kuamini ni ibada ni magaidi lakini karibu magaidi wote wanafuga ndevu kwa kuamini kuwa ufugaji wa ndevu za namna ile na ulipuaji wa watu wa imani nyingine, yote ni matendo matakatifu.

Nakubaliana na wewe Mkuu. Hata Prof Safari naye hajawahi kunyoa ndevu zote. Sana sana anazipunguza tu
View attachment 173020View attachment 173021
 
Yani nipoona hii title nilijua tu ntakutana na sura zinazofanania hivi...
 
Binafsi siliamini kabisa jeshi LA polisi.
Henry Kilewo alibambikwa kesi ya ugaidi lkn mwisho Wa Sikh kesi ikayeyuka,pia yule Ambrose aliekamatwa kwa kulipua kanisa kesi take iliishia wapi?
Hats yule kada Wa CUF aliekamatwa kule Zanzibar nae ilikuwa kaonewa,
name waziri mkuu aliwahi kuwadanganya watanzania kuwa wamewakamata waarabu mpakani huko Arusha wakati alijua FINA kuwa wameonewa kwa sababu ya dini yao.
Huu ujinga unaofanyika ambapo amituhumiwa mtu mwenye imani ya kiislaam mnaita ugaidi name kunasibisha makosa take name dini ya kiislaam ,IPO Siku tutakuwa wakimbizi,
Ingekuwaje kama viungo vya binaadam vingekutwa taasisi ya kiislaam?
Ingekuwaje kama skendo ya mchungaji gwajima ingemkuta Shekh au Imaam?
Wale mnaokejeli ndevu name kizihusianisha name wislaam,mnataka kutuaminisha kuwa mungu we nu yesu alikuwa mwislaam? maana sanamu zote makanisani kwenu zinaonesha akiwa name ndevu za kutosha.
vipi Plato,Socrete na Aristotle NATO walikuwa waislaam kutokana name kuwa name ndevu nyigi?
ache I chuki
 
Hawa wenye majina haya kwa nini mara nyingi wanafanya shughuli hii ni sehemu ya mafundisho ktk imani yao????????
 
Wameruhusiwa kupigana walio onewa na kudhurumiwa ktk ardhi yao,piganeni na wanao wapiga kwa sababu ya mwenyezi mungu wala msipigane nawasio kuwa adui zenu,wala msiwaanze wala msiwachokoze, hakika mwenyezi mungu hapendi wachokozi. Kama kweli wametenda hvyo sheriaa itumike. UISLAM MZURI LAKN WAFUASI SASA,MAJANGA
 
Back
Top Bottom