Tena huyu mwenye ndevu ndiyo mwenyewe huyu
huyo ndio lema
Tena huyu mwenye ndevu ndiyo mwenyewe huyu
Mbona majina yote ya mwezi mtukufu?aisee wanatudhalilisha sana!
Si vema kutukana! Si uungwana. Lema ni ukoo mkubwa wenye watu wengi! Tujichunge!chadema semeni sasa;
Je kwa hilo nalo mtakataa?
Lema ukoo wa lema yaani familia ya lema godbless, looh.
Mngeweza huyo lema mngembadilisha jina mapema;
chadema semeni sasa;
Je kwa hilo nalo mtakataa?
Lema ukoo wa lema yaani familia ya lema godbless, looh.
Mngeweza huyo lema mngembadilisha jina mapema;
Inshaalah haki itajulikana kama kweli wanahusika au ni usaniii mwingine polisi
kila mwenye akili timamu hawezi kuunga mkoni mauaji ya watu wasio na hatia na hawezi kuwahukumu au kuwatukana kundi la watu kwa makosa ya watu wengine.
Udini unaopandikizwa na baadhi ya watu utaleta maafa makubwa katika nchi yetu na duniani kwa ujumla.
Mwenyezimungu ibariki tanzania,
Waislam pingeni huu upuuzi
Wewe kikojozi waislam lazima watakuwa ni marijali wako wewe.
Gwajima anaiba wake za watu kule kila siku.
Mbona hatujaskia mkishika mabango juu ya hilo.
Uislam as a religion unahusikaje na matukioa hayo.
Uislam ndio umewatuma wafanye hivyo??
Then hao ni watuhumiwa hiyo case ishakuwa proved kuwa ndio wahusika wenyewe??
Wewe umezoea kulizwa lizwa na kina dada kama Madame B.
Kikojozi huna unalolijua mgalatia uliekosa akili na mwenye laana kama taifa laaanifu la israel.
Teh teh teh.
Vikojozi utawajua tu.
Teh teh teh mkuu THE BIG SHOW umenichekesha kumbe huyu kamanda ni kikojozi dah! hatari sana.
Nadhani title si sahihi. Hao si walipuaji. Ni watuhumiwa wa ulipuaji.
Kwani hujui lengo lao ni nini??
Lengo lao makafir siku zoote ni kuuchafua uislam na waislamu.
Sisi hawatupi shida hata kidogo.
Huyo LEMA ana undugu na Godbless Lema?