Picha: Hatimae nimejinasua kwenye penzi la kitumwa

Picha: Hatimae nimejinasua kwenye penzi la kitumwa

Mchumba huyu nimedumu nae miaka miwili Sasa, ila dharau na jeuri ndio Tabia yake sugu.

Sasa imetosha.View attachment 3277170
Shetani anapenda sana anavoona mahusiano ya watu yakivunjika.

Lakini mkuu, hicho siyo kielelezo cha kuachana chenye mashiko.

Hamuwezi kuachana kisiasa na mna hiyo na kweli iwe ndiyo mwisho!

Wote mnajaziba na kama kuna upendo upo bado kati yenu, basi mtarudiana tuu.

Umeshatafuta mbadala?

Kama bado tusidanganyane utamrudia tena kwa kumpigia magoti kabisa kwa kumuomba msamaha hata kama atakuwa kakukosea yeye.

Hapo utatozwa mafaini na utayalipa kisiri huku ukijipa moyo kwa kujipiga kifua... 'Hela kitu gani bhana, mi'kwani nimekataa kutoa? '... Hapo tayari mwanaume unakuwa huna namna😁😁😀🤣!

Mkojo wa asubuhi unavyosumbua hivoo?
Lazima tu umrudie, ninabashiri!
 
Hongera kwa uamuzi mgumu japo najua inauma kuachana na mtu ambaye umekuwa naye kwa muda mrefu. Muda mwingine tunavumilia mambo ambayo hayavumiliki kwenye mahusiano. Usipuzie red flags kwenye mahusiano, sometimes inabidi ucut loss ili usiendele kupata hasara zaidi.

Ushauri
Next time ukitaka kuachana na mpenzi wako andaa exit plan, ikiwezekana utafute replacement kabisa kabla ya kuachana. Hii inasaidia kupunguza upweke na matokeo yake kurudi kwa dear ex.

# Tunafiwa na watu tunaowapenda tunasahau na maisha yanaendelea sembuse kuamuacha mtu na mb*nye yake
mkuu umeongea point mno ila sometime inahitaji muda mtu kuanzisha mahusiano mengine kwa muda mchache hivo sana sana kwa (me)
 
Hiyo convo inaonyesha nani mwenye maumivu makali moyoni, just by reading unaona kabisa.
Ameacha kinyonge sana.
Halaf approach aliyotumia ni very inefficient.
He was supposed to ghost her and go silent mazima.
Na call no whatever. Sasa anaacha kama anaachika
 
Juzi uliletq uzi ukizungumzia kuoa hivi karibuni, vipi huyu mliyeachana ndo ulipanga umuoe?
 
Pôle sana mkuu, ukiomba msamaha usiache kuturushia tena convo zenu..!!

Huyo mwanamke sio tu kiburi Ila hata kukupenda HAJAWAHI 😹😹😹
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom