Picha: HATARI jeneza latelekezwa katikati ya reli

Picha: HATARI jeneza latelekezwa katikati ya reli

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,315
Ndugu wa marehemu waingia mitini....wapita njia walitazama tu!!
 
Marehemu, ameacha watoto wangap jamani tutoe msaada. Nasikia matanga yatakuwa tarehe 25/10/2015
 
Marehemu hapendwi na mpaka ata site wameshindwa kumaitiri
 
Ushabiki bila kupiga kura hauwezi kuiondoa CCM.

Wewe wasema...nachojua wazee wababa na akina mama mpaka vijana wamejitokeza kujiandikisha,sasa kwa style ile ile bila yakupoteza hata cent,ndio hiyo inayokuja kuwang'oa gambaz..gadm..ti
 
Wewe wasema...nachojua wazee wababa na akina mama mpaka vijana wamejitokeza kujiandikisha,sasa kwa style ile ile bila yakupoteza hata cent,ndio hiyo inayokuja kuwang'oa gambaz..gadm..ti

Kama ni hivyo ni vizuri sana. Sasa kwa waliokuwa nje ya nchi utaratibu wao wa kupiga kura unakuwaje, maana na wao wana haki kama raia japo hawapo nyumbani. Mara nyingi CCM wanalipuuzia hili kwakuwa wanajua kura za huko nyingi ni za wapinzani.
 
Back
Top Bottom