Picha: HATARI jeneza latelekezwa katikati ya reli

Picha: HATARI jeneza latelekezwa katikati ya reli

bavicha wanajua kujipa moyo but all in all ukweli wanaujua
 
Magamba walimpenda lakini Mungu kampenda zaidi Mwenyezi Mungu ampumzishe anapostahili.
 
Marehemu, ameacha watoto wangap jamani tutoe msaada. Nasikia matanga yatakuwa tarehe 25/10/2015

Marehemu ameacha 1.WAZUNGU MIGODINI wanaowadhulumu wachimbaji wadogo
2. WAWEKEZAJI WA KICHINA walioliteka soko la Tanzania kwa kutuletea bidhaa feki.
 
Ukifa kuzimu unakuwa hai duniani. CCM I hai duniani. Huko kwenu kuzimu ndio imekufa. Najua ukawa kuzimu ni mbele kwa mbele
 
Kumbe marehemu alikuwa mwamini wa moja ya madhehebu ya dini ya kikristo.
 
Back
Top Bottom