Picha: Foleni ya kwenda kumuona Sheikh Ponda Hospitali ya Muhimbili

Hii inaonyesha ni kwa kiasi gani Tanzania kuna ujinga na upunguwazi kupita kiasi. Hiyo ni juu ya ukosefu wa kazi au kutokuthamini kazi. Hivi kumuangalia Ponda kwa kutumia masaa kadhaa kutawasaidia nini hao ndugu zetu pichani?

Wewe usie na ndugu ndio utayasema hayo!
Sheikh ponda ana ndugu maalfu hapa nchini!
Na kwenda kumtembelea ndugu yako sio lzm usaudiwe kitu au upate maslahi fulani!
Ni mapenzi baina ya ndugu ndio yanayo sababisha watu kutembeleana!
Kama wewe huna ndugu kajinyonge!
 
usitupotoshe,allah sio mungu wetu,anawahusu nyie tu, sisi tunamwabudu JEHOVAH MUNGU WA IBRAHIM ISAKA NA YAKOBO

Teh teh teh teh!
Eti na wewe umetoa kapoint hapa!
Jamani dunia hii kuna mambo!?

We unajua kuwa mungu wako aliwaruhusu alio waumba kumpiga mawe! Halafu akalia! Halafu akaomba maji ya kunywa! Halafu kabla hajafa akasema!
Eh Mungu! nafsi yangu naikabidhi kwako!
Akafa!
Sasa sijui hio nafsi(roho yake) alijikabidhi mwenyewe??
Hapo itabidi umuulize muchungwaji wako!
Au Eiyer akitolewa mapepo ya maswali labda huyu Mkiristo anaweza kujibu!
 
Last edited by a moderator:
Hii inaonyesha ni kwa kiasi gani Tanzania kuna ujinga na upunguwazi kupita kiasi. Hiyo ni juu ya ukosefu wa kazi au kutokuthamini kazi. Hivi kumuangalia Ponda kwa kutumia masaa kadhaa kutawasaidia nini hao ndugu zetu pichani?

LIPO ALILOTAKA KUSEMA. Kakosa ujasiri.
 
Waislamu wote ni ndugu,Na watanzania wote ni ndugu,au hujui?

Ndugu yangu kusema waislamu wote ni ndugu ni sawa kabisa:thumbup:

Lkn mimi undugu na wagalatia! Mhhhh baba utanisamehe! Kitimoto kwa damu na mimi mbalimbali!
Najisi!
 
Wewe usie na ndugu ndio utayasema hayo!
Sheikh ponda ana ndugu maalfu hapa nchini!
Na kwenda kumtembelea ndugu yako sio lzm usaudiwe kitu au upate maslahi fulani!
Ni mapenzi baina ya ndugu ndio yanayo sababisha watu kutembeleana!
Kama wewe huna ndugu kajinyonge!

Kama wewe unafikiri hao wote ni ndugu zake, basi na wewe nakujumlisha kwenye hilo kundi nililowabeza. Tuache ushabiki usio na maana. Upuuzi mwingine unatia aibu hasa unapoonyeshwa hadharani kwenye vyombo vya habari.
 
Leo ndio umeona kwamba taarifa za Ponda sio za Siasa mbona tangu juzi habari za kupigwa kwake Risasi zimo/zipo humu haukuyaandika haya au roho inakuuma kuona mapenzi waliyonayo hao wanzania wanaoenda kumuangalia kipenzi chao.
unaakili sana wewe mtu.....umetafakari ukaja na hili jibu murua kabia kwa huyu bwana yaani watu wengine wanakurupuka tu wiki nzima kachangia humuhumu kwenye siasa leo hataki.....jamani,,,,,,bwana mmoja humu aliwahi kusema miafrika ndivyo tulivyo
 
Kama wewe unafikiri hao wote ni ndugu zake, basi na wewe nakujumlisha kwenye hilo kundi nililowabeza. Tuache ushabiki usio na maana. Upuuzi mwingine unatia aibu hasa unapoonyeshwa hadharani kwenye vyombo vya habari.

Wewe wala usipate tabu!
Mimi ni ndugu yake na ponda bila shaka!
Na sio lazima ndugu akubaliane na kila unachokifanya!

Lakini juu ya kuwa tuna tofauti za kifikra baina yetu!
SISI WAISLAMU WOOTE NI NDUGU!

Na hilo mwananchi mwenzangu sio ombi.
Ndio utamaduni wetu huo!
 
Lakini juu ya kuwa tuna tofauti za kifikra baina yetu!
SISI WAISLAMU WOOTE NI NDUGU!!
Kwa hiyo undugu unaouongelea ni udini? Kwa maana nyingine mfanyakazi mTanzania mwenzako au jirani yako mtaani hutakuwa na mpango naye kama sio muislamu? Kwani mwenyezi Mungu ameumba muislamu tofauti na muumini mwingine?
 
Tofauti kubwa saana! Waislamu wanaabudu Mungu Mmoja tu!

Wengine wanaabudu , mara mzungu! Mara picha,! Mara sanamu ! Mara binaadamu mwenzao! Mara miti n.k.

Sasa hatuwezi kuwa sawa hata siku moja!!
 
Tofauti kubwa saana! Wauslamu wanaabudu Mungu Mmoja tu!

Wengine wanaabudu , mara mzungu! Mara picha,! Mara sanamu ! Mara binaadamu mwenzao!
n.k.

Sasa hatuwezi kuwa sawa

Natumaini bado tunaongelea undugu wako na Ponda na sio tofauti za imani za dini kama unavyozifikiria wewe. Kwa maelezo yako ni kuwa ndugu yako ni yule tu aliye muislamu na hutajali linalomkumba jirani yako wa mtaani au hata mfanyakazi mwenzako asiye muislamu. Je hayo ndio mafundisho ya Ponda maana kwa ufahamu wangu huo sio uislamu?
 
Wewe kama ni mtanzani huna haja ya kuniuliza swali kama hili!
Nadhani jamii inawafahamu waislamu vizuri tu!
Linapokuja suala la kusaidiana kwenye shida na raha, waislamu si wenye kujitenga hata siku mmoja!

Ponda na waislamu wote tunapigia kelele MFUMO KRISTO! ambao muasisi alikuwa nyerere na mpaka leo unaingilia kila nyanja za maisha!

Wagalatia wanajifanya wana akili nyingi kuuingiza mfumo huo mpaka kwenye shule za chekechea! Na kila anaeupinga anavamiwa na kunyanyaswa! Mfano shehe ponda!!

Sasa kama nyie mnajifanya kuuma huku mnapuliza! Kuna mwisho wake.
watu watachoka na balaa litakuja ikuta nchi!
Mnawaona waislamu wajinga siku zote kulalamika bila vitendo.
Watu wanapeleka malalamiko serikalini! Wanakutana na john, joseph, matayo! Na hawa wanatumia madaraka yao kuwanyanyasa!

Siku inakaribia saana ambayo waislamu hawato omba haki yao! Bali wataichukua.

Ogopeni saana mtu ambae haogopi kufa ktk kutafuta haki yake. Tumeyaona kwa wenzetu! Na hatutaki yatukute hapa kwetu! Lkn watu bado viburi!!
Na siku hio ikifika! Mungu aisaidie nchi yetu.!!!!
 
hii inaonyesha ni kwa kiasi gani tanzania kuna ujinga na upunguwazi kupita kiasi. Hiyo ni juu ya ukosefu wa kazi au kutokuthamini kazi. Hivi kumuangalia ponda kwa kutumia masaa kadhaa kutawasaidia nini hao ndugu zetu pichani?

chuki yako ni kubwa zaidi moyoni mwako
 
chuki yako ni kubwa zaidi moyoni mwako

Unajua sayansi inatufundisha kuwa ukipendelea sana kula nyama ya nguruwe! Chuki lzm iwe nyinyi sana moyoni mwako!
Sasa hawa wakolosai na waparokia huwa wanatafuta sababu tu ya kula!

Mara yesu kazaliwa" wanakula kitimoto"
Mara yesu kafa" wanakula kitimoto"
Mara kafufuka" -"- kitimoto"
Mara yesu wamemuona kwenye ndoto!
Kinaliwa kitimoto!
Naskia siju hizi siku aliyokufa nyerere pia wanaikumbuka kwa kula kitimoto!
Yaani kito moto kwenda mbele!

Kwa hiyo chuki ni lzm wawe nazo!

We hushangai hata hao nguruwe huwa kwanini wanafugwa peke yao?? Manake ukiwachanganya tu! Ni balaa!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom