Picha: Foleni ya kwenda kumuona Sheikh Ponda Hospitali ya Muhimbili

Wewe kama ni mtanzani huna haja ya kuniuliza swali kama hili!
Nadhani jamii inawafahamu waislamu vizuri tu!
Linapokuja suala la kusaidiana kwenye shida na raha, waislamu si wenye kujitenga hata siku mmoja!

Ponda na waislamu wote tunapigia kelele MFUMO KRISTO! ambao muasisi alikuwa nyerere na mpaka leo unaingilia kila nyanja za maisha!

Wagalatia wanajifanya wana akili nyingi kuuingiza mfumo huo mpaka kwenye shule za chekechea! Na kila anaeupinga anavamiwa na kunyanyaswa! Mfano shehe ponda!!

Sasa kama nyie mnajifanya kuuma huku mnapuliza! Kuna mwisho wake.
watu watachoka na balaa litakuja ikuta nchi!
Mnawaona waislamu wajinga siku zote kulalamika bila vitendo.
Watu wanapeleka malalamiko serikalini! Wanakutana na john, joseph, matayo! Na hawa wanatumia madaraka yao kuwanyanyasa!

Siku inakaribia saana ambayo waislamu hawato omba haki yao! Bali wataichukua.

Ogopeni saana mtu ambae haogopi kufa ktk kutafuta haki yake. Tumeyaona kwa wenzetu! Na hatutaki yatukute hapa kwetu! Lkn watu bado viburi!!
Na siku hio ikifika! Mungu aisaidie nchi yetu.!!!!

Mbokaleo,
Wewe ni kigeugeu na mtu wa chuki. Umekunywa porojo za kina Ponda na wenzake wenye wivu na chuki zao kwa wakristo, na wewe ukazifanya kuwa ni sehemu ya uislamu. Kumbuka wivu na chuki vime-dhambishiwa na mtume (SAW).

  1. Umeng’ang’ana na mfumo kristo kama vile upo. Hakuna kitu kiitwacho ‘Mfumo Kristo’, hayo ni maneno ya uchochezi tu. Kinachokusumbua wewe pamoja na Ponda ni wivu na chuki na sio mfumo wowote ule.
  2. Tiba ya chuki uliyonayo sio vitisho vya vurugu kwani vitisho vya muhanga haviogopwi tena siku hizi. Bali kama ungekubali kuondoa chuki na wivu na kuungalia ukweli kama ulivyo, basi ungeweza kusonga mbele. Angalia na kudadisi ni kwa nini wakristo walifanikiwa zaidi halafu ujaribu kuiga yaliyo bora badala ya kutumia wivu/chuki kulalama.
  3. Bahati mbaya ni kuwa Ponda hatengenezi 'kundi la werevu' bali anatengeneza 'genge la wajinga' wenye chuki na wivu. Zaidi ya hapo Ponda anawafanya hao wajinga kuamini hiyo chuki kuwa inakubalika kwenye uislamu wao. Eti adui wao mkubwa wa shida zao ni majirani na ndugu zao ‘wakristo’, wakiongozwa na maiti ya Nyerere, na kuwa jibu lake ni vurugu kuanzia misikitini, mitaani hadi JF. Hivyo sio jambo la kushangaza kuona hao wajinga wakipanga foleni kwa masaa hata ingebidi siku kumuangalia mjinga mwenzao, Ponda, badala ya kwenda kufukuzia shilingi.
 
chuki yako ni kubwa zaidi moyoni mwako
Maubig,
Kama kusema ukweli kama unavyoonekana ni chuki, basi wengine tutaendelea kusema hata kama tutabandikizwa majina. Kwa nini hawa waungwana wanapoteza muda wao kwa mtu ambaye kazi yake ni kupandikiza chuki kati ya wanajamii? Halafu hao hao ndio wanaokuja kulalama kuwa kuna mfumo kristo unaowafanya wasifanikiwa maishani. Je kubainisha hilo ndio chuki?
 
Mbokaleo,
Wewe ni kigeugeu na mtu wa chuki. Umekunywa porojo za kina Ponda na wenzake wenye wivu na chuki zao kwa wakristo, na wewe ukazifanya kuwa ni sehemu ya uislamu. Kumbuka wivu na chuki vime-dhambishiwa na mtume (SAW).

  1. Umeng’ang’ana na mfumo kristo kama vile upo. Hakuna kitu kiitwacho ‘Mfumo Kristo’, hayo ni maneno ya uchochezi tu. Kinachokusumbua wewe pamoja na Ponda ni wivu na chuki na sio mfumo wowote ule.
  2. Tiba ya chuki uliyonayo sio vitisho vya vurugu kwani vitisho vya muhanga haviogopwi tena siku hizi. Bali kama ungekubali kuondoa chuki na wivu na kuungalia ukweli kama ulivyo, basi ungeweza kusonga mbele. Angalia na kudadisi ni kwa nini wakristo walifanikiwa zaidi halafu ujaribu kuiga yaliyo bora badala ya kutumia wivu/chuki kulalama.
  3. Bahati mbaya ni kuwa Ponda hatengenezi 'kundi la werevu' bali anatengeneza 'genge la wajinga' wenye chuki na wivu. Zaidi ya hapo Ponda anawafanya hao wajinga kuamini hiyo chuki kuwa inakubalika kwenye uislamu wao. Eti adui wao mkubwa wa shida zao ni majirani na ndugu zao ‘wakristo’, wakiongozwa na maiti ya Nyerere, na kuwa jibu lake ni vurugu kuanzia misikitini, mitaani hadi JF. Hivyo sio jambo la kushangaza kuona hao wajinga wakipanga foleni kwa masaa hata ingebidi siku kumuangalia mjinga mwenzao, Ponda, badala ya kwenda kufukuzia shilingi.

We toka matusi na kashfa zako!
Lkn nyie ndio wale mnaoufunika MFUMO KRISTO Kwa kukataa kama haupo!
Waislamu wanafelishwa mitihani na wakristo wanapasi! Huyaoni hayo?!
Madaraka wanapeana wagalatia waislamu wako nje. Hayo pia huyaoni?
Wizara nyeti zoote zimejaa wagalatia!
Hilo pia mtasema waislamu hawajasoma!
Makanisa kukatiwa maeneo nyeti na makubwa toka wakati wa nyerere wakati miskiti inafinywa! Hayo pia ni uzushi sio!?

We jina la na akili zako zinafanana! Mi staki kuongeza zaidi!
Na kwa taarifa yako waislamu wamesha amka! Kilichibaki ni kuuteketeza tu huu mfumo galatian! Kwa njia yyt!
 
Nimeikumbuka move ya Saadam Husen alipokamatwa akachunguzwa afya yake,madaktari wakamtibu,mimi nilidhani walikuwa wanamtakia mema.Lakini nilishangaa baada ya kupona kwake akahukumiwa kunyongwa ,na walimnyonga kweli. Lol
 
We toka matusi na kashfa zako!
Lkn nyie ndio wale mnaoufunika MFUMO KRISTO Kwa kukataa kama haupo!
Waislamu wanafelishwa mitihani na wakristo wanapasi! Huyaoni hayo?!
Madaraka wanapeana wagalatia waislamu wako nje. Hayo pia huyaoni?
Wizara nyeti zoote zimejaa wagalatia!
Hilo pia mtasema waislamu hawajasoma!
Makanisa kukatiwa maeneo nyeti na makubwa toka wakati wa nyerere wakati miskiti inafinywa! Hayo pia ni uzushi sio!?

We jina la na akili zako zinafanana! Mi staki kuongeza zaidi!
Na kwa taarifa yako waislamu wamesha amka! Kilichibaki ni kuuteketeza tu huu mfumo galatian! Kwa njia yyt!
Mbona umesahau mfumo uislam uliotaifisha mashule na mahospitali ya wakristo yakawa ya umma?
Mbona umeufumbia macho mfumo uislam uliofanya viongozi wote kutoka tanzania visiwani kuwa waislam tu kana kwamba Zanzibar hakuna wakristo?
Mbona husemi mfumo uislam ulioweka marais waislam wote na makamu wao tanzania bara na visiwani na kusababisha nchi kwenda mrama kila kunapokucha si tanzania bara wala visiwani kila siku ni afadhali ya jana.
Kuna mengi lakini wakristo ni wastarabu si kwamba hawayaoni bali wanajikita kuzalisha mali ili mkimaliza kujitoa mhanga wawasaidie watoto wenu watakaobaki yatima nawake zenu wajane.
 
Waumini wakisubiri zamu yao kwenda kumjulia hali Sheikh Ponda

1151046_10201440159181800_1084534703_n.jpg
Mkemia mkuu achunguze materials zinazotumika kutengenezea kofia hizi za ibada,nadhani zina kemikali inayokandamiza ubongo na kuufanya usiwaze mengine mbali na kulalamika,kemikali hii inaonekana ni hatari maana inadhuru ubongo bila kujali ni wa mtu msomi au ni wa mtu wa kawaida yenyewe inapenya tu.
 
Mbona umesahau mfumo uislam uliotaifisha mashule na mahospitali ya wakristo yakawa ya umma?
Mbona umeufumbia macho mfumo uislam uliofanya viongozi wote kutoka tanzania visiwani kuwa waislam tu kana kwamba Zanzibar hakuna wakristo?
Mbona husemi mfumo uislam ulioweka marais waislam wote na makamu wao tanzania bara na visiwani na kusababisha nchi kwenda mrama kila kunapokucha si tanzania bara wala visiwani kila siku ni afadhali ya jana.
Kuna mengi lakini wakristo ni wastarabu si kwamba hawayaoni bali wanajikita kuzalisha mali ili mkimaliza kujitoa mhanga wawasaidie watoto wenu watakaobaki yatima nawake zenu wajane.

Acha kuongea kama umezidisha kunywa ile damu ya bwana!

Taja hizo shule za kikristo ambazo waislamu walizo zitaifisha!
Kama sio unafiki na uongo ulio wazi!

Na kuhusu zanzibar kutoka viongozi wa kiislamu!
Sina hakika kama wewe ni mtanzania halisi! lkn watanzania karibu wote wanafahamu kuwa kabla ya muungano wa Tanganyika na zanzibar. Kule visiwani kulikuwa na waislamu 100%.!
Hakuna Galatia hata moja!
Nyerere ambae ndio muasisi wa mfumo kristo ndie aliyeanza kuingiza waabudu masanamu ya wazungu huko visiwani!
Na bado tunshkuru Mungu kuwa . Juu ya jitihada za nyerere kuuingiza ugalatia zanzibar. Hadi leo bado waislamu ni almost 99%!

Kwa hiyo linakushangaza lipi kwa viongozi wote wanaotoka zanzibar kuwa ni waislamu??
Au ule mfumo kristo unakuwasha mpaka unataka na Zanzibar muiingilie na hivyo viti moto vyenu!?
Huko kaeni mbali! Mtachezea bakora mpaka akili iwasogee!
Muulizeni yule Dr slaa! Atakupeni khabari.
 
Unajua sayansi inatufundisha kuwa ukipendelea sana kula nyama ya nguruwe! Chuki lzm iwe nyinyi sana moyoni mwako!
Sasa hawa wakolosai na waparokia huwa wanatafuta sababu tu ya kula!

Mara yesu kazaliwa" wanakula kitimoto"
Mara yesu kafa" wanakula kitimoto"
Mara kafufuka" -"- kitimoto"
Mara yesu wamemuona kwenye ndoto!
Kinaliwa kitimoto!
Naskia siju hizi siku aliyokufa nyerere pia wanaikumbuka kwa kula kitimoto!
Yaani kito moto kwenda mbele!

Kwa hiyo chuki ni lzm wawe nazo!

We hushangai hata hao nguruwe huwa kwanini wanafugwa peke yao?? Manake ukiwachanganya tu! Ni balaa!!

Aliyekudanganya juu ya hilo mwambie hana akili
 
Mkemia mkuu achunguze materials zinazotumika kutengenezea kofia hizi za ibada,nadhani zina kemikali inayokandamiza ubongo na kuufanya usiwaze mengine mbali na kulalamika,kemikali hii inaonekana ni hatari maana inadhuru ubongo bila kujali ni wa mtu msomi au ni wa mtu wa kawaida yenyewe inapenya tu.

hahahahahaaa nakuunga mkono kabisa
 
Hili swala la Mwamsho linatakiwa liangaliwe kwa undani. Kwanza kabisa ingekuwa vizuri ikajulikana lengo la kikundi hiki ilisuluhisho la matakwa yao yaweze kufanyiwa kazi, kama yapo ndani ya uwezo wa mamlaka husika. Kwa vile mkondo huu ukiendelea hivi basi kutajitokeza kundi la kupingana na nao, na hapo ndipo ambapo matatizo ya kweli yataanza.
 
Aliyekudanganya juu ya hilo mwambie hana akili

Haya niliyaskia kwa kadinali wako!

Lkn huo ujumbe hapo juu naomba umfikishie mwenyewe!

Manake mi ni shemeji yangu yule nimeoa kwao!

Siwezi kumwambia hivyo! Ataondoka na dada yake bure nikose jiko!
 
Mkemia mkuu achunguze materials zinazotumika kutengenezea kofia hizi za ibada,nadhani zina kemikali inayokandamiza ubongo na kuufanya usiwaze mengine mbali na kulalamika,kemikali hii inaonekana ni hatari maana inadhuru ubongo bila kujali ni wa mtu msomi au ni wa mtu wa kawaida yenyewe inapenya tu.

We sijui anae kukaanga ni nani!
Manake hilo jina lako linatisha ati!
Haya majina mengine unaweza sababisha watu wakapigwa radi brbrani!
Kukaangwa tena! Duhhh!
 
Unajua sayansi inatufundisha kuwa ukipendelea sana kula nyama ya nguruwe! Chuki lzm iwe nyinyi sana moyoni mwako!
Sasa hawa wakolosai na waparokia huwa wanatafuta sababu tu ya kula!

Mara yesu kazaliwa" wanakula kitimoto"
Mara yesu kafa" wanakula kitimoto"
Mara kafufuka" -"- kitimoto"
Mara yesu wamemuona kwenye ndoto!
Kinaliwa kitimoto!
Naskia siju hizi siku aliyokufa nyerere pia wanaikumbuka kwa kula kitimoto!
Yaani kito moto kwenda mbele!

Kwa hiyo chuki ni lzm wawe nazo!

We hushangai hata hao nguruwe huwa kwanini wanafugwa peke yao??
Manake ukiwachanganya tu! Wanakula wenzao!

Halafu ni wanyama pekee wanakula mavi yao!! Na kutokwa na damu za kila mwezi kwenye nanihii zao!

Kitimoto Ni balaa.
 
Yeah Lakini kama Serikali ingekuwa na KICHWA wangeviacha VILE VIWANDA vya TEXTILES vilivyokuwa DAR vilikuwa LABOR intensive; Vilikuuwa vinazalisha Khanga na vitenge ambavyo Market yake ni kubwa na pia walikuwa wanatumia MALIGHAFI ya hapa NCHINI... Pamba na wakulima wa PAMBA malipo yao hayakuwa mabaya kama sasa hivi.

Hivyo Viwanda hapa Dar Vilikuwa Vimeajiri karibia Wananchi 100,000 semi-skilled and unskilled unakuta mtoto; baba; bibi na babu wote wanafanya kazi hapo na Wamefanikiwa Kujenga NYUMBA na Maisha sio SHIDA hata kidogo

Sasa baada ya kugundua tuna DHAHABU ndio tunavitupa hivyo VYIWANDA Badala ya kuvibakisha Mikononi Mwa Serikali
Hata siku Moja Ulikuwa hausikii AJIRA ni za KIDINI au vile... na Khanga na VITENGE vilivyotengezwa huko vilikuwa Quality haswa... Walikuwa wanatengeneza pia Mashati; Kaunda Suit Mashuka.... Mashati yalijuwa yanauzwa Nje ya NCHI na kwasababu yalikuwa LABOR intensive yalikuwa hayakosi MARKET

Kukimbilia U-CAPITALIST lazima uwe na watu wazururaji; Free to Exploit... lakini hapo hapo Unajenga a CLASS STRUGGLE wao AMERICA na UK --- WAMEJENGA MAGEREZA na pia WAMEWAPA MATAJIRI UWEZO wa KUMILIKI MAGEREZA na wanalipwa na SERIKALI.... Subiri tu Utayasikia

Viwanda vile vilikufa mikononi mwa Watanzania na hakuna alieliona hili. Unajua kwa nini? Kulikua hakuna uwajibikaji kwa management zote za viwanda, No goals, No motives and Full of Kamlete.
 
Ndo maana huwa siwaelewi JF na waazilishi wa JF nini hasa malengo yao,, watuweke wazi, maana humu kashfa ndo mahala pake ila itoke upande mmoja , ikitoka upande wa pili utasikia ban ya nguvu. subra inamwisho wake Allah atunusuru. La ilaha ila LLahu Muhammad rasulu LLah.

Hat mm nilianzisha thread usiku asub nafungua siion kisa nimeuliza swali ambako sidhan km ni baya kabda ndo linaegemea upand mwenge anyway Allah ampe afya njema sheikh ponda (amin)
 
Viwanda vile vilikufa mikononi mwa Watanzania na hakuna alieliona hili. Unajua kwa nini? Kulikua hakuna uwajibikaji kwa management zote za viwanda, No goals, No motives and Full of Kamlete.

DIDO, Tungetakiwa kuwaondoa hao wote wasiowajibika badala ya kuwazungusha zungusha kwenda kwenye viwanda vingine na kuviua...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom