Picha: Foleni ya kwenda kumuona Sheikh Ponda Hospitali ya Muhimbili

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
Waumini wakisubiri zamu yao kwenda kumjulia hali Sheikh Ponda


1151046_10201440159181800_1084534703_n.jpg
 
Mpeni pole sanaaa, mwambie siku yakupata taifa jipya inakaribia naye lazima ataliona kabla mungu kumchukua....
 
Since it is foolhardy for the establishment to think that it can simply wish Sheikh ponda away; they need to re-think the strategy on how to deal with Pondaism; such a crowd has a huge story to tell between the lines!! Pinda hawa huwezi kuwapiga tu kisha taifa likabaki salama! think; think again
 
udini unawasumbua watu wanashindwa kutofautisha mambo ya kidini na kisiasa. nivipofu wasioona kabisa hatari iliyo mbele yetu yakuendelea kuchanganya siasa na dini. niliuliza jana how is Ponda by the way?
Mbona umeileta Jukwaa la Siasa, kwani Ponda ni mwanasiasa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom