Picha feki za marehemu Osama Bin Laden..........

sitaki kuamini habari hizi kwa kuwa ilishavumishwa siku nyingi kuwa amekufa
 
Fighting for unworth cause....they guy has gone for real na hamna lolote alilotuachia la maana nyuma zaidi ya kukumbukwa kama muuaji wa watu wasio na hatia. Kama wamarekani ni wauaji basi na Osama na wanaomfuatilia pia hawana tofauti nao!
 
KWAHIYO NA HIZI NI FAKE MAANA HATA HAWAFANANI KABISA

523136_486603471369036_1176366324_n.jpg


attachment.php
 
Back
Top Bottom