Picha feki za marehemu Osama Bin Laden..........

attachment.php
 
Any sensible person knows that terrorism is a fabrication of the US government.And this nonsense about killing Osama and burying him in the sea!For Gods sake why in the sea at all.What are they hiding .Americans should know that there nothing like Osama.Foolish them, they are celebrating as if the annoucement of the death of the so called Osama bin Laden is real.
Where Osama bin Laden was killed - Abbottabad map

An annotated map shows Osama bin Laden's compound and its proximity to Pakistan military sites

  • guardian.co.uk, <time datetime="2011-05-02T15:53BST" pubdate="">Monday 2 May 2011 15.53 BST </time>
attachment.php

<small>View Abbottabad map in a larger map</small>
 
Benazir Bhutto yule mama alikuwa anagembea uraisi pakistani alisemaga kitambo kwenye interview Osama amekufa waka mdedisha mchana mchana hivi hivi CIA. video hapo chini
 
Last edited by a moderator:
Inaonekana kuna dalili kubwa za uchakachuaji...DNA results zinasemaje? Au Obama anataka kurudisha popularity kwa wamarekani.?!
 
Wapuuzi wanatuwekea photoshop sisi ukitaka kujua kwamba niuongo hizo picha taza picha no1 na picha no3 mdomo wapicha no 1 kabla yakufa na mdomo wapicha no3 baada ya kufa nisawa tazama meno size yakufumbua mdomo ndevu halafu picha no 2 inafanana na picha no 3 upande wajuu yakichwa hadi kwenye pua nipicha moja sawa na no 3kuanzia puani kushuka ninyingine kabisa halafu kiwiliwili picha no 2 na picha no 3 vinafanana!!Osama fake!!
 
Asante kwa kutufungua macho
 
Ndg wana JF,uitaji kuvaa miwani ili kuweza kuona na kutofautisha hizo picha 3, picha ya kwanza na ya 3 ni moja kuanzia kwenye pua,mdomo,meno na ndevu...picha ya pili na ya 3 ni 1 kuanzia kwenye mwamba wa pua kwenda juu,na shingo kuja kwenye bega,. Taarifa ya kuuwawa kwa Osama nimezipata kwa njia ya radio na hapa jamvini,cjaona picha yeyote zaidi ya hizo za post ya Ruta...nyuma...hofu yangu ni kama Obama nae atakuwa kadanganywa kama jaykey,na yeye akaidanganya dunia...sijui!
 
Back
Top Bottom