Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

Kama kweli ni Tangazo la Tii Sheri bila Shuruti, Mamlaka Halisi ilipaswa kutoa tamko ili kuwaaminisha wananchi wasiwe na shauku. Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Camilius Wambura, amethibitisha kukamatwa kwa Kibonde na Gardner.

Kama yeye ametoa tamko hilo ikiwa ni sehemu ya "igizo" bila wananchi kuelewa, basi, hii ni THE MOST STUPID PRODUCTION EVER in the history of Public Safety Media Relations.

MADUDU bin BALAA!

Nikianza kuelezea wapi wamekosea na wapi wamepatia, ratio itakuwa 99.9% makosa na 0.1% kupatia.

Mnachemka zaidi kwa KUTUMIA NGUVU NYINGI SANA kukanusha tukio hili, na watu WAMEKATAA kukubali kwamba ni SINEMA! Kimsingi, MMEUMBUKA! Mchana kweupe peeeee! BOOOOOM!

Hata ile ya wale waliopigana studio pia mlisema ni tangazo lao.
 
Wadau,

Mnapenda sana UMBEA,muda sijui mnatoa wapi?. Je Mkiambiwa kua walikua wanatengeneza TANGAZO la kutii sheria bila shurti?.

Halafu mnasema nchi yenu masikini. Tanzania itaachaje kuwa masikini kama sample ya watu wake ni aina YENU humu??!!

Negative thinking imewajaa na uzandiki. Fanyeni kazi acheni majungu. Sasa KiBONDE akifungwa au kuwekwa sero wewe unafaidika vipi?

Mchawi sio lazima akuroge

Punguzeni majungu

FP

Hakuna cha KILIMA wala KIBONDE wote ni wale wale masisiem..
 
Muda mwingine ni heri kukaa kimya kuliko kupost kitu ambacho hukijui hi italinda heshima yako,we unaesema ni tangazo nenda obey polisi kaangalie kwenye vitabu huyo mlevi mwenzio kadhaminiwa jana sangapi.
 
attachment.php

Kayanda anaenda kumtoa kama nani? Ni mwana-sheria wao?

Ajaenda bado BBC?
 
Back
Top Bottom