Josephine
JF-Expert Member
- Sep 5, 2010
- 786
- 812
acheni uongo Dr slaa alikuwa na njia zake.tena alizua vurumai pale wanachama wa cuf wakidai cdm ni wabinafsi bunge mpaka wengine walitemea mate gari yake na kutoa maneno machafu.kwa nini? Watu si wakweli kila kitu ni ushabiki tu.semeni hali halisi ili watu wajifunze na wapate habari za kweli
Rafiki i prove you wrong,ulichoongea si kweli,i was there,zaidi mliona anaweza kumfunika Pro,nakuaza kuwazuia wanachama wenu wasimsherehekee and it wa an order.
Nafiki inabidi sasa tufike mahali tubadili characters,nilikuwa airport kwa mda mrefu sana nimeona mengi na kuwajifunza sana,sijapenda kucoment ni....
Wasalimie ndugu zangu waliotoka Rufiji,Zanzibar,Lindi na Mtwara.Hope wamerudi salama.