Picha: Dr.Slaa ampokea Prof. Lipumba kiaina

Utakufa wewe, utaomba miungu wako lakini CUF itabaki inanawiri ..endelea kuota..lol

CUF haiwezi kuchana sanda na kufufuka kamwe.
Kama kunawiri ndo huku kupungua kwa kura hadi mmfikie hatua ya kusurrender Arumeru Mashariki basi CUF ni chama chenye wanachama waliojivua ufahamu.
CUF ni mzoga, Lipumba kazika leo rasmi.
 
Hivi wewe utabakia kuandika mzoga sijui kuzika ndio hoja gani hizo ama kweli chuki zitakumaliza moyo wako bure

Nimeshasema utakufa wewe, utakuwa mzoga lakini CUF itabaki bisha???

Ukiwa na akili ungeongea issue siyo unarudi the same statement now and then..oops
 
Hivi CUF wametoa wapi ule umati wa watu? ni pigo kubwa kwa Hamadi Rashidi na jamaa zake.
 
Keep on dreaming broda..

We are in government (zanzibar), we have MPs in both part of the union, no oppositon party in Tanzania has ever achieved that extent ..

utakufa wewe CUF itaendelea kunawiri

Naikumbuka ile siku uliyoikana CUF ukijinadi kuwa huna chama chochote. Ningeshangaa sana mfia dini usiwe CUF. Anyway, kusanyikeni msikitini muunde chama kingine, hiki kimekufa tayari. Hamad Rashid ndiye wa kuikafini maiti ya CUF
 
Hivi CUF wametoa wapi ule umati wa watu? ni pigo kubwa kwa Hamadi Rashidi na jamaa zake.

Ulifikiri Buguruni ndogo? Ungeenda mitaani saa hizo uone kama kuna teja amesalia huko. Na misikiti nayo ilikosa wacheza bao. (Pigo kwa wauza tangawizi na kahawa nje ya misikiti, kwa kuwa wateja wao walienda kumpokea baba wa marehemu)
 
Naikumbuka ile siku uliyoikana CUF ukijinadi kuwa huna chama chochote. Ningeshangaa sana mfia dini usiwe CUF. Anyway, kusanyikeni msikitini muunde chama kingine, hiki kimekufa tayari. Hamad Rashid ndiye wa kuikafini maiti ya CUF

Utakufa wewe na CUF itaendelea kunawiri..
 
Hivi wewe utabakia kuandika mzoga sijui kuzika ndio hoja gani hizo ama kweli chuki zitakumaliza moyo wako bure

Nimeshasema utakufa wewe, utakuwa mzoga lakini CUF itabaki bisha???

Ukiwa na akili ungeongea issue siyo unarudi the same statement now and then..oops

Uhai au kifo cha chama unapimika kwa kuongezeka au kwa kupungua kwa mtaji wa wapiga kura ktk chama husika.
Weka hapa tathimini ya ongezeko la mtaji wa wapiga kura wa CUF baada ya uchaguzi mkuu na chaguzi ndogo ndogo zote zinazoendelea mpaka sasa ili kuthibitisha kuwa CUF ni chama hai kinachoshamiri.
Tafathali, weka ushahidi wa ongezeko la wapiga kura wa CUF utakaonipa sababu ya kuona CUF sio maiti iliyoozea uvunguni.
 
Acha uoga, a coward is a liar.
Kwa nia njema mzee mkubwa kawasabahi wafiwa waliokuwa wakihani msiba wa ile maiti yetu CUF tena iliyoanza kuoza.

endeleeni kujipa matumaini na kujidanganya na kujifariji eti aah cuf inakufa inazikwa aibu zinawashika mapokezi hayajapata kutokea magari zaidi ya kilomita 30 toka kipawa hadi ubungo
 
Uhai au kifo cha chama unapimika kwa kuongezeka au kwa kupungua kwa mtaji wa wapiga kura ktk chama husika.
Weka hapa tathimini ya ongezeko la mtaji wa wapiga kura wa CUF baada ya uchaguzi mkuu na chaguzi ndogo ndogo zote zinazoendelea mpaka sasa ili kuthibitisha kuwa CUF ni chama hai kinachoshamiri.
Tafathali, weka ushahidi wa ongezeko la wapiga kura wa CUF utakaonipa sababu ya kuona CUF sio maiti iliyoozea uvunguni.

Acha kufuata historia pumbavu sasa ni geuko sasa tumeamua 2015 mchumi lipumba aingie uongozini wa jamhuri ya tanganyika.
 
Waswahili mmepata pa kutokea si kasumba huko mitaani hata Dr Slaa amemsujudia Prof. Mapumba wakati hapo hiyo picha imempa leverage Dr Slaa kwamba hana mipaka kwenye suala la ukarimu!
 
Ulifikiri Buguruni ndogo? Ungeenda mitaani saa hizo uone kama kuna teja amesalia huko. Na misikiti nayo ilikosa wacheza bao. (Pigo kwa wauza tangawizi na kahawa nje ya misikiti, kwa kuwa wateja wao walienda kumpokea baba wa marehemu)

buguruni ndo umeona kuna cuf pekee acha kulopoka huyo teja unaemtaja si mtanzania we acha ubaguzi
 
Waswahili mmepata pa kutokea si kasumba huko mitaani hata Dr Slaa amemsujudia Prof. Mapumba wakati hapo hiyo picha imempa leverage Dr Slaa kwamba hana mipaka kwenye suala la ukarimu!

haijampa chochote zaidi ya kuwazodoa vilaza wanao omba cuf ife. Hajaongeza chochote sanasana ana pungukiwa kuwa amemkubali lipumba. Hivyo imemshusha kidogo.
 
nampongeza sana kamanda wangu SLAA kwa kwenda kumpokea mpambanaji mwenzake LIPUMBA, naimani baada ya mapokezi na mapumziko ya kutosha watakaa wajadiliane jins ya kuunganisha nguvu kulikomboa taifa,
 
haijampa chochote zaidi ya kuwazodoa vilaza wanao omba cuf ife. Hajaongeza chochote sanasana ana pungukiwa kuwa amemkubali lipumba. Hivyo imemshusha kidogo.
wewe ndo unapungukiwa mana hujui wapi panastahili kumpongeza mtu na wapi haustahili, alichokifanya Slaa ni chakiungwana sana na ukumbuke hakwenda kumpokea mwenyekiti wa cuf bali alikwenda kumpokea mwenyekiti wa maprofesa wa uchumi duniani. BIG UP W.SLAA
 
CCM itatoka madarakani pale ambapo vyama vya siasa vya upinzani vitaungana!!Naiota hii siku lakini sijui itafika lini!!
 
Back
Top Bottom