Mulugo kaondoka na div. 5 zake huyu sijui anasubiri nini huku.We lo.fa kabisa watu wamevaa Tshirt zimeandikwa M4C we unasema picha za 2010.We kweli DIVISION 5 za Mulugo.2010 kulikuwa na M4C??????Poor you
Mulugo kaondoka na div. 5 zake huyu sijui anasubiri nini huku.We lo.fa kabisa watu wamevaa Tshirt zimeandikwa M4C we unasema picha za 2010.We kweli DIVISION 5 za Mulugo.2010 kulikuwa na M4C??????Poor you
Sisi ndio tumempuuza huyu anaetaka kuhalalisha gongo atuharibie nguvu kazi ya taifa
Unaonekana dhahiri unatumika vibaya na macdm, umekunywa sumu ya m4c hadi ukaathrika ubongo. Endelea kushabikia kwenye hamna, aibu kuu inakuja 2015. Siasa za kujaza watu mkutanoni halafu ukavimba kichwa kuwa nakubalika hazitoi taswira sahihi. Muulize Mrema na Mtikira hawa waliwahi kujaza watu misili ya sisimizi, Mwisho wa siku chali.
Duu CDM mtaahangaika sana mwaka huu kila kukicha kauli mbiu sawa sasa bado Tanzania Daima!
Mtakuja kujutia matokeo yake 2015 na lazima muangukie puwa mwaka huu! Malizieni hela zetu za ruzuku hizo ofisi zenu hata pen hamna!
Picha hazionekani vizuri, kama kuna uwezekano turekebishie!
M4C Pamoja daima
Picha za mwaka 2010 zinatumika leo kuhadaa watz mitandaoni na kwenye media
Peoplessssssssssssss ........................... RIP CCM............Hakika mungu atakuwa na wanyoge ambao wamenyanyaswa kiasi cha kutosha, wameonewa kiasi cha kutosha, wamepuuzwa kiasi cha kutosha, wamebaguliwa kiasi cha kutosha, wamedanganywa kiasi cha kutosha na sasa wanataka kukombolewa na tumaini kumbwa la ukombozi huu liko mikononi mwa makamanda kama daktar wa falsafa wa ukweli W. P. Slaa