PICHA: Compare and contrast - Mwanza and Morgoro

PICHA: Compare and contrast - Mwanza and Morgoro

naona unaamua kupotosha ukweli kwa makusudi, mkuuu na akili zako zooote unatumika kwa sababu ya buku 7.. polesana....
Hakuna cha propaganda hapa. CCM hakuna propaganda ndiyo maana kulikuwa kuna matangazo ya television na radio.

CCM haihitaji wakina thomaso wa kwenye biblia.
 
Bongo flavour concert versus mkutano wa kisiasa
Keep on dancing, CCM is on move...
376162152.jpg
 
Hii naipenda! Unafukuzwa bungeni alafu badala ya kulalamika tu, unakwenda kushambulia ngome ya adui! Hiyo ni namna nzuru sana ya kulipiza kisasi.
 
Nimependa sanaaa, kweli kuna tofauti kubwa sana ya uhuru na tanzania daima/raia mwema.......

Weekend kwangu sasa imekuwa tamu sanaaaaa.... mwanza wanajielewa sana, lakini wakwe zangu morogoro bado kido kujielewa...
 
Ukiangalia rangi za mavazi ya watu walio hudhuria kwenye mikutano hii miwili utagundua kabisa kuwa mkutano wa ccm una watu wamekuja disco na outing. Pia ccm inamvuto mkubwa sana kwa watoto
 
hapa wanashangilia KINANA AU PLATNUM?


tehhh mkuu marire muuulize mwanadiwani atakupa majibu, naona wanamwangalia kijana wa kuacha ------ njee, na nyimbo zake za kutaka kulewa.. kinana anaitikia lewaaaaaaaaaaaaa,, lewaaaaa dahaaa ahadi zao 69, za 2010 naona hata hazikumbuki,
 
Siku zote Mfa maji haishi kutapa; kwaheri MacCM bye_bye_bye; Time is now not Tomorrow...
 
Jamaa alienda kufuatilia dili zake za pembe za ndovu wala sio siasa.si mnajua litoka china juzi?
 
kinana vs wananchi waliopewa buku buku za vocha!
kinana: ndugu wananchi tumewaletea wasanii wengi sana je CHADEMA wanaletaga?
wananchi:hawaletagi!
kinana: ccm oyeeee!
wananchi😱yeeeee

kinana: kidumu chama cha mapinduz

wananchi:kidumu chama tawala
kinana;ccm imewaleta marais wa china ,marekan, je CHADEMA wamemleta nani?
wananchi:hawajaleta yeyote!
kinana: ccm oyeeee!

wananchi😱yeeeee
kinana:ndugu wananchi rais ni handsome au sio handsome
wananchi:handsome!
kinana: ccm oyeeee!
wananchi😱yeeeee

Mkuu hii ndio ilikuwa hotuba ya Magamba?sitaki kuamini kabisa aisee!!!
Maana hizo zimepitiliza kwenye pumba zimekuwa taka taka.
 
Startv iliyoko pale Mwanza kwenye taarifa yake ya saa mbili usiku haijatangaza mkutano wa Chadema uliofanyika Mwanza,badala yake ikatangaza ule wa Morogoro wa Kinana na watoto wa shule za msingi!!! Diallo at work.
kama kuna kitu kimenishangaza ni hicho, nadhani dialo ameogopa kumuumbua katibu mkuu
 
Haki ya Mungu kwa mlinganisho huu CCM inaelekea kaburini.
 
kinana vs wananchi waliopewa buku buku za vocha!
kinana: ndugu wananchi tumewaletea wasanii wengi sana je CHADEMA wanaletaga?
wananchi:hawaletagi!
kinana: ccm oyeeee!
wananchi😱yeeeee

kinana: kidumu chama cha mapinduz

wananchi:kidumu chama tawala
kinana;ccm imewaleta marais wa china ,marekan, je CHADEMA wamemleta nani?
wananchi:hawajaleta yeyote!
kinana: ccm oyeeee!

wananchi😱yeeeee
kinana:ndugu wananchi rais ni handsome au sio handsome
wananchi:handsome!
kinana: ccm oyeeee!
wananchi😱yeeeee

nithibitishie kama dialogue hii ni ya kweli roho yangu itulie.
 
CDM ni chama kinachopendwa na watu toka moyoni, ni chama cha ukombozi kubali ukatae..!CCM siipendi kama kinye**..!
 
bila mabasi na huyo mwanamziki tusingeona wala usinge compare!!!!!!!
 
Back
Top Bottom