PICHA:CHADEMA vs CCM - kwenye hitimisho la kampeni za udiwani kata ya Daraja II

Kamanda Mungi bado uko kwenye kikao cha mikakati? raia bado wanakusubiri ufanye ze needful.
 
Last edited by a moderator:
Mda huu kuna users 144 wanakusubiri wewe Mungi utekeleze ahadi yako Mkuu
 
aiseeeeeeee babaangu leo sita lala mpata uweke izo picha au magamba yamekuteka ili uzichakachuwe bibi yangu ni gamba la kufa m2 nisipo mwona kwenye picha nitajua nitajuwa si zakweli
 
jamani kuweni wavumilivu jamaa bado kwenye mikakati ya kesho si unajua mabwepande mkizubaa tu inakula kwenu mchana kweupe..
 
hapa makamanda mnatakiwa mlinde kura zenu maana magamba kwa wizi.. ni balaa toka wizi wa rasilimali mpaka kura wamekubuhuu...chezea nyi nyi em....
 
Picha zinazungumza vema. Kweli watanzania wanaipenda na kuamini CHADEMA.

Ninawatakia ushindi mwema CHADEMA huko daraja mbili.
 
Pamoja na CCM kuhonga buku kumi kumi ili kuvuta watu lakini hali ndio hiyo.
Kweli sikio la kufa halisikii dawa!!!
 
subiri uone hiyo photoshop kwenye masanduku ya kuhesabia kura. Nasikiwa umeshapewa dili kule . . . . . umelamba shavu la ukampeni meneja kwi kwi kwi, lazima ukwame na uweka hazina wa chama wakutimue.

Mkuu mimi ni shabiki wa ADC mkuu
 
Back
Top Bottom