Mkuu mtu anayethubutu kupita barabarani siku hizi akiwa amevalia yale magwanda ya kijani ni lazima awe na ujasiri usiokuwa wa kawaida
tuna ukubali moto wa chadema na asante kwa kutupa update information is power. Tunaamini chadema ni mkombozi wa haya yafutayo
1. Kwa kasi ya chadema -katiba mpya -must
2. Kwa kasi ya chadema vita ya ufisadi itakua na kuwaadibisha mafisadi
3. Kwa kasi ya chadema uoga wa kuhoji utapungua,
4. Kwa kasi ya chadema tutahimiza makazi bora
5. Kwa kasi ya chadema uongozi uchwala utang'oka
6. Kwa kasi ya chadema afya bora itapatikana
7. Kwa kasi ya chadema mikopo elimu ya juu itakuwa ya wachuo wote
8.kw kasi ya chdema kilimo kitakuwa chenye tija
10. Kwa kasi ya chadema kima cha chini 400,000/=
11. Kwa kasi ya chadema mifuko ya jamii kuwatumikia wanachama sio mafisadi
12. Kwa kasi ya chadema uhuru na amani ya kweli vitapatikana.
WanaJF.
CHADEMA inaendelea na Maandamano Kanda ya Ziwa na leo tuko Mkoa wa Shinyanga.Maandamano ndio yameanza na watu ni wengi mno.Barabara zimefunga msafara unaenda kwa taabu sana.Karibu Pikipiki na Tax zote za Mjini hapa zipo kwenye maandamano kuelekea Uwanja wa Lubaga. Hakika mambo ni moto.
Hakuna Kulala Mpaka Kieleweke
Kutoka kwenye Maandamano Shinyanga
Regia E Mtema
Waziri Kivuli-Kazi na Ajira