[PICHA] CHADEMA Ndani ya Shinyanga

Duh afadhali wale majuha Bado nipo nipo na Zemarcopolo hawaja fuka manake wale elimu waliyopata haikuwakomboa cdm go on. Na nasisitiza kila siku siku polisi wakipiga ndugu zetu tutaanzia hapohapo kumng'oa Jk haya maandamano yatumike kama mtego
 

haswaaa, naunga mkono chadema.

Jina zuri chadema, litajwapo napata msisimko.

Viva chadema, aluta continue
 
Kuna wakati Mwiba maneno yako yanaleta raha na hamasa safi. Tutafika tuu tulikokusudia
 

Hongera dada Rejia, tuko nyuma yenu ila tuanataka statement na output jamani, tusiishie na maandamano tu, tunataka matokeo ya maandamano
 

Naanza kuamini sasa kuwa moto wa CDM umeanza kuondoa baridi kwa wote waliokuwa na baridi na kuanza kuchangamka kutoka kwenye makunyanzi. Tusigombee kamba kwa kuwa tunayetaka kumfunga ni mmoja, miaka 50 ameonesha kutokuwa na huruma nasi, yupo tayari sisi tuangamie yeye apate majani yake hata kwa kung'oa mimea yetu tuliyopanda ili majani yake yastawi.
 
Ndugu mliopo shinyanga tafadhali tutumieni picha ambao tupo mbali kidogo
 
revelution is a process, in order to suceed in this first u have build a foundation by wining people's trust, that is what chadema is doing, we believe liberation is coming soon!hence those swain called themeself fathers of the nation!the time is up!we are total fed up with these stupidity!
 
Yes ur right, what is being done now is to build trust and see whether the mass movement can be possible or not
 

Hongera dada Rejia, tuko nyuma yenu ila tuanataka statement na output jamani, tusiishie na maandamano tu, tunataka matokeo ya maandamano
 
nadhani wakimaliza hiyo amsha amsha kazi itaaanza ya nchi nzima sasa.......................peeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeplooooooooooooooos
 
Peoples power! Mvua ya kuipeleka kwenye mfanikio imeanzia egypte. Pls tusiiache ikatupita bure tutajuta baadae. Viva cdm, viva wa tanzania, aluta contnuer mapambano mbele daima. Kurudi nyuma mwiko!
 
Grrrrrrrrrrrrrrrrrrh, huu ni uonevu wa hali ya kati kutuletea habari za hamasa kuhusu ukombozi lakini picha mnatubania. Je tunatakiwa kuchangia kamera kwa ajili ya chama? Twaweza kufanya hivyo kama mnahitaji, just say it.
 
Tunasonga mbele kwa mwendo wa kasi.
2015 inanukia kama pilau la krismasi.:wink2:
 
Uanzishwaji wa matawi mapya ya chadema utafuata baada ya uhamasishaji wa nguvu ya umma nchi nzima, hadi kieleweke.
 
Peoples power! Mvua ya kuipeleka kwenye mfanikio imeanzia egypty. Pls tusiiache ikatupita bure tutajuta baadae. Viva cdm, viva wa tanzania, aluta contnuer mapambano mbele daima. Kurudi nyuma mwiko!

Mvua ilianzia huko Scandinavia na orange revolution hii ya sasa ni tetemeko la mapinduzi ya kizalendo ya waarabu(Kistaarabu) na leo kwenye mkutano wa Haki za Binadamu hapa Geneve ,Hillary Clinton amemwaga cheche akisema kuwa vijana wamechoka na serikali zinazovunja matumaini serikali ambazo zimekaa madarakani miaka mingi tokea ukoloni serikali zinazobadilishana au kupokezana vijiti serikali zinazojifanya soji wakati punda ni yuleyule akikusudia chama kisichoondoka madarakani kwa zaidi ya miaka selasini,kama si uhuni ni kitu gani alimalizia.

Sasa si wakati wa mwendo mdundo maana kama kuna mdundo tutabaki tunacheza ccm wanakata kushoto na kutuacha kwenye mataa ,huu uwe wakati wa mwendo na ukweli ,tunaposema NO basi iwe kwa capital na sauti kuu ,hatutambui basi iwe hatutambui maisha yaani najua CCM watataka serikali ya umoja wa Kitaifa wapinzani , Waarabu wa Yemen wamesema NO jamaa na Chama chake waondoke madarakani miaka selasini imetosha.
 
kweli peoples power ni kiboko. please chadema imarisheni kitengo cha habari na propaganda jamani
 
Hongera sana tunawatakieni shughuli njema
suala la kufungua matawi ni muhimu tulifanyie kazi

pplezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…