Gosbertgoodluck
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 2,855
- 405
WanaJF.
CHADEMA inaendelea na Maandamano Kanda ya Ziwa na leo tuko Mkoa wa Shinyanga.Maandamano ndio yameanza na watu ni wengi mno.Barabara zimefunga msafara unaenda kwa taabu sana.Karibu Pikipiki na Tax zote za Mjini hapa zipo kwenye maandamano kuelekea Uwanja wa Lubaga. Hakika mambo ni moto.
Hakuna Kulala Mpaka Kieleweke
Kutoka kwenye Maandamano Shinyanga
Regia E Mtema
Waziri Kivuli-Kazi na Ajira
Mheshimiwa Regina,
Naomba ufikishe mawazo yafuatayo kwenye kamati za chama huko juu hasa mlioko kwenye huo mkakati wa maandamano.
1. Naomba mfungue matawi kadri muwezavyo kila mnapopita.
2. Mtoe kadi kwa wanachama wapya kila mnapofanya mkutano na kuwafuatilia hao wanachama wapya kama walokole wanavyofuatilia kondoo mpya.
Nikuombe tena..... shughulikieni mambo hayo!!
Haya mambo ni mazuri sana na watu wengi tumeshatoa mawazo yetu mara nyingi lakini hujibu. Unajibu mengine tu!!!
13 kwa kasi ya chadema elimu bure inawezekana.
WanaJF.
CHADEMA inaendelea na Maandamano Kanda ya Ziwa na leo tuko Mkoa wa Shinyanga.Maandamano ndio yameanza na watu ni wengi mno.Barabara zimefunga msafara unaenda kwa taabu sana.Karibu Pikipiki na Tax zote za Mjini hapa zipo kwenye maandamano kuelekea Uwanja wa Lubaga. Hakika mambo ni moto.
Hakuna Kulala Mpaka Kieleweke
Kutoka kwenye Maandamano Shinyanga
Regia E Mtema
Waziri Kivuli-Kazi na Ajira
ni kweli,kingo cha mawasiliano kwa umma hakipo mpaka regia ndo awe anatupa news?!Asante Regia,
mmeshaimarisha kitengo chenu cha mawasiliano kwa umma? Au wewe ndiye mkuu wa hicho kitengo?
WanaJF.
CHADEMA inaendelea na Maandamano Kanda ya Ziwa na leo tuko Mkoa wa Shinyanga.Maandamano ndio yameanza na watu ni wengi mno.Barabara zimefunga msafara unaenda kwa taabu sana.Karibu Pikipiki na Tax zote za Mjini hapa zipo kwenye maandamano kuelekea Uwanja wa Lubaga. Hakika mambo ni moto.
Hakuna Kulala Mpaka Kieleweke
Kutoka kwenye Maandamano Shinyanga
Regia E Mtema
Waziri Kivuli-Kazi na Ajira
Hongera. Mh. Shibuda yupo?
Tabora ndio itakua ngome kuu ya CDMDada Regia sina uhakika kama mtapita hapo Tabora, navyojua mimi Tabora ni tawi hai la CCM na kuna baadhi ya wilaya kama Sikonge CHADEMA haifahakiki kwa wanachi wengi.
...
Taboraaaaaa inaita jamani.
CHADEMA ifike Tabora. SIKONGE twawasubiri kwa hamu.
Regia ntakusumbua kila nikiona makala.
Mkifika huko, msishangae kupata watu wachache maana huku ni CCM tu.
Ila mkiwa na NGUVU ya SLAA na SUGU kwa ajili ya VIJANA, watakuja wengi tu.
Wakifika, basi wapigwe dozi ya CAFFEINE WAAMKE na wasilale tena.:decision:
WANYAMWEZI twaisubiri PEPOOOO POWAAAA!!!!!!!!!
Mwageni kadi na kufungua matawi huko kama vile mmesikia mwisho wa dunia umekaribia, kumbe ni mwisho wa CCM.