Linatakiwa lifukiwe kama la TAZAMA!Labda ndio teknologia mpya.Kwa wanaojua mambo watusaidie kuelewa, hili bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanzania mbona halifukiwi?
View attachment 3282531
Bomba hili usafirishaji wake ni tofauti na lile la TAZAMA la kwenda Zambia, hili mafuta hupashwa joto ili yatiririke wakati la Tazama mafuta husukumwa, hivyo ukilifukia hautaweza kulipasha joto.Kwa wanaojua mambo watusaidie kuelewa, hili bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanzania mbona halifukiwi?
View attachment 3282531
KUna mfumo wa umeme kwenye hizo bomba utakaotumika kupasha joto.Bomba hili usafirishaji wake ni tofauti na lile la TAZAMA la kwenda Zambia, hili mafuta hupashwa joto ili yatiririke wakati la Tazama mafuta husukumwa, hivyo ukilifukia hautaweza kulipasha joto.
NB, nunueni majiko ya gesi kwa ajili ya tenda ya kulipasha joto, mimi ninayo.
Ni kweli, litafukiwa mwishoni.Bado mpk kwenye hatua ya finishing huko baada ya majaribio na testing..sidhani kama Kuna bomba la mafuta linaweza kuachiwa wazi hivo kuepusha majanga na ajali za wanyama
mhm kwenye majiko ya gesi sijakuelewa mkuuBomba hili usafirishaji wake ni tofauti na lile la TAZAMA la kwenda Zambia, hili mafuta hupashwa joto ili yatiririke wakati la Tazama mafuta husukumwa, hivyo ukilifukia hautaweza kulipasha joto.
NB, nunueni majiko ya gesi kwa ajili ya tenda ya kulipasha joto, mimi ninayo.
Si mtayawasha chini ya bomba kulipasha.mhm kwenye majiko ya gesi sijakuelewa mkuu
Daa hii kali ya mwaka.Bomba hili usafirishaji wake ni tofauti na lile la TAZAMA la kwenda Zambia, hili mafuta hupashwa joto ili yatiririke wakati la Tazama mafuta husukumwa, hivyo ukilifukia hautaweza kulipasha joto.
NB, nunueni majiko ya gesi kwa ajili ya tenda ya kulipasha joto, mimi ninayo.
Si mtayawasha chini ya bomba kulipasha.