Kama itawezekana, wangezifunga speed governor yenye limit ya 80km/hr
Vinginevyo watatuua abiria wao.
Kuna Siku nilikuwa nawahi ku-check-in ndege, maana zilibaki dakika 65 hivi ndege iruke na Mimi muda huo nilikuwa Sinza.
Ili kuwahi nikachukua boda ani-rush
Jamaa mwendo aliokuwa anaendesha, ukafanya nishukie njia ya panda ya Segerea, nikapiga simu kuomba nisafiri Kwa ndege ya Jioni.
Unaweza kuondoka Duniani kabla ya Siku zako Kwa uzembe wa hao bodaboda π