Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,754
Amefanana sana na mama yake....
hahaa copyright kabisaaaaaaaaaaaa
Amefanana sana na mama yake....
waooh my cute daughter
baba ake mwafrika pure
Kazuri, sijui kamefanana na babake, manake nikiangalia rangi ya mum.... mmmh!
namuogopa badiebey siwezi mjibu apa
waooh my cute daughter
baba ake mwafrika pure
hapo mbona ukimuweka mama na mtoto ni kama kidonge cha ampiclox?
unaweza umbuka ujue.................. teh!!!!!!1
hahaa Doctor kafata kwa dady ake
waooh my cute daughter
baba ake mwafrika pure
Tena mie ni mwafrika halisi, na kwetu ni hapo Moshi.