Course Coordinator
JF-Expert Member
- Jul 27, 2019
- 1,738
- 3,228
Ukalime mbaazi.Mdori....walah ntafanya ziara ya makusudi kurudi pale mahala kwa kujikumbusha tu.Mdori weeeh
Ukalime mbaazi.Mdori....walah ntafanya ziara ya makusudi kurudi pale mahala kwa kujikumbusha tu.Mdori weeeh
Halafu atakuja kwenye Uzi ule wa "kimasihara"Huyo kafungiwa mahali na mhuni mmoja anamshughulikia kikamilifu na hana mpango wa kumuoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha washenzi sana
Mhogo unavimbisha tumbo.Kwenye hiyo picha mbona hilo tumbo liko kinamna fulani!!
Nikimuona nitawajulisha!
Sawa MkuuMhogo unavimbisha tumbo.
Mwanafunzi, form 4, kavaa kikuku kama si bangili. Nani alimpiga picha, ili aipeleke wapi, alitumia kifaa gani kipiga picha. Maswali ni mengi. Kweli hapo hakuna msomaji.Mmmnh....Hapo hakuna msomaji..!
Wachagga wametoka wapi tena huku we mkoundou?Tatizo wachaga wanaendekez sana Mila. Watakuwa wamenteka ili wakaoe
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio vita mkuu mi nawakumbusha wazazi wake wasubiri kupokea mkwe tu[emoji2][emoji2]boss mbona unapenda vita na huyo mkaskazini[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mtu kamficha