Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,822
- 40,625
Watulie yuko mahala anachakatwa.
😀😀Dyudu dyudu sio la mchezo.
😀😀Dyudu dyudu sio la mchezo.
Habari za leo ndugu zangu,
Picha ya huyo mtoto hapo chini anaitwa Makrina Lukas au Chanch kwa jina lililozoeleka.
Mtoto huyu yupo form four Shule ya Sekondari Magugu, Wilaya ya Babati, Mkoa wa Manyara.
Mtoto huyu amepotea tarehe 04/02/2020, alitoka nyumbani saa moja na nusu asubuhi[emoji116].
Piga namba hizi: 0787316877 Baba yake (Lukas Doga) au 0754483431 (Venance Doga)
RB number: Magugu/190/2020
Alishiba mbege mkuu...[emoji23]Kwenye hiyo picha mbona hilo tumbo liko kinamna fulani!!
Nikimuona nitawajulisha!
Tatizo wana CCM hata elimu ya geography walinyimwa,wanajua eti wenyeji wa Babati ni wachaga.Tatizo wachaga wanaendekez sana Mila. Watakuwa wamenteka ili wakaoe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaolewa - simpoHabari za leo ndugu zangu,