Picha: Binti huyu mwanafunzi wa form 4 kapotea

Picha: Binti huyu mwanafunzi wa form 4 kapotea

Naona sasa huko aliko analiwa uroda tu na wahuni kweli wahuni sio watu wazuri.. Yaana mnamchamvua tu mavuzi huyo binti..!!
Salute sana wahuni mlojaaliwa mikuyenge yakuwanogesha watoto kama hawa hadi wanasahau kwao na shule juu.. Kubabake
 
Maskini huyo mtoto ana wazazi ndugu jamaa na marafiki wanao mlilia sasa hivi hawajui alipo

Ukija Jf ni ulimwengu mwingine kabisa

Apatikane salama tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii nchi ya hovyo Sana, mlevi kachana daftari saa haijaisha kafutwa kazi, mtu baba anamtafuta binti wa shule Hadi Sasa hivi hakuna tamko lolote, hiyo picha ingekuwa Ni kikao Cha chadema tayari ffu wangesha wakamata,

Tuseme ukweli huyu binti shule haendi na wenzie? He hamiliki simu? Mara ya mwisho kawasiliana na Nani?
 
Naona sasa huko aliko analiwa uroda tu na wahuni kweli wahuni sio watu wazuri.. Yaana mnamchamvua tu mavuzi huyo binti..!!
Salute sana wahuni mlojaaliwa mikuyenge yakuwanogesha watoto kama hawa hadi wanasahau kwao na shule juu.. Kubabake
Sio vizuri kuonyesha kuwa akili zako ziko kwenye lile bonde linalotenganisha makalio
 
Habari za leo ndugu zangu,

Picha ya huyo mtoto hapo chini anaitwa Makrina Lukas au Chanch kwa jina lililozoeleka.

Mtoto huyu yupo form four Shule ya Sekondari Magugu, Wilaya ya Babati, Mkoa wa Manyara.

Mtoto huyu amepotea tarehe 04/02/2020, alitoka nyumbani saa moja na nusu asubuhi[emoji116].

Piga namba hizi: 0787316877 Baba yake (Lukas Doga) au 0754483431 (Venance Doga)

RB number: Magugu/190/2020

Mbungwe huyo ameshapoteaaaaa....Huyo atakuwa Mdori au Mti wa mjerumani anakula kuku na Bata...
 
Back
Top Bottom