Picha: Binti huyu mwanafunzi wa form 4 kapotea

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Dec 12, 2015
6,980
14,742
Habari za leo ndugu zangu,

Picha ya huyo mtoto hapo chini anaitwa Makrina Lukas au Chanch kwa jina lililozoeleka.

Mtoto huyu yupo form four Shule ya Sekondari Magugu, Wilaya ya Babati, Mkoa wa Manyara.

Mtoto huyu amepotea tarehe 04/02/2020, alitoka nyumbani saa moja na nusu asubuhi.

Piga namba hizi: 0787316877 Baba yake (Lukas Doga) au 0754483431 (Venance Doga)

RB number: Magugu/190/2020

IMG_20200211_170708.jpg
 
Chanch, a.k.a imekaa kisista duu sana. Namtakia heri tu arejee nyumbani chanch. Wakuu tusihukumu kuwa yupo kwa msela kwa kutazama mwonekano wake.
 
Back
Top Bottom