Picha: Bashe na Kubenea Wakizozana Na Nape

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,859
ImageUploadedByJamiiForums1453980888.578884.jpg

Wabunge wa Nzega Hussein Bashe na wa Ubungo Saed Kubenea ambao ni wamiliki wa vyombo vya habari nchini wakizozana na Waziri wa Habari, Vijana, Sanaa, Utamaduni na Michezo Nape Nnauye
 
Ni miezi miwili tu, honemoon is over & gone. Kwa mwendo huu nadhani baada ya miaka 5 CCM itakuwa maiti.
 
tunaongozwa na raisi asiye na vipaumbele yaani hakujiandaa kuwa raisi ndio maana maamuzi ya kifedhuli na kijuha yanatolewa na yeye mwenyewe pamoja na wasaidizi wake,ukihoji wanatumia nguvu kuzima hoja yako..!!!hii inaonyesha wazi ccm haikuchaguliwa na watanzania ndio maana wanatumia kila namna kuzima zima kelele za wananchi wanapo dai haki zao
 
Back
Top Bottom