nasikiliza kupitia radio tbcfm .. huku nikipiga kazi zangu jion ndo tunaangalia live , pamoja na taarifa ya habari niko hapa KCRI , moshi
elimu ya hapa na pale naye ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaView attachment 319752
Wabunge wa Nzega Hussein Bashe na wa Ubungo Saed Kubenea ambao ni wamiliki wa vyombo vya habari nchini wakizozana na Waziri wa Habari, Vijana, Sanaa, Utamaduni na Michezo Nape Nnauye
Kama kaenda bungeni kushughulikia UKAWA; na wewe una muunga mkono, basi una matatizo katikati ya masikio!Nampenda Nape, kiboko ya ukawa
Kaenda bungeni akiiwakilisha serikali ya JMT ila ukawa mnajipendekeza kwake. Ataendelea kuwanyoroshaKama kaenda bungeni kushughulikia UKAWA; na wewe una muunga mkono, basi una matatizo katikati ya masikio!
Dih!View attachment 319752
Wabunge wa Nzega Hussein Bashe na wa Ubungo Saed Kubenea ambao ni wamiliki wa vyombo vya habari nchini wakizozana na Waziri wa Habari, Vijana, Sanaa, Utamaduni na Michezo Nape Nnauye
Ndio tatizo lenu hilo. Sasa biashara ya sifa bungeni hakuna tena mbunge tutakupima kwa maendeleo jimboniAlosto Inakusumbua, Nenda Kwa Sadali Kwanza!!!
Zile nyomi mlikuwa mkisema hivyo hivyo kuwa ni mwisho umefika!Walianza vizur sasa naona kabisa mwisho mbaya kwa CCM
Una point hapa, sasa HAMNA jinsi. Unakuwa mbunge jembe kwa kigezo cha maendeleo jimboni mwako! Sijui Makoka watajengewa barabara maskini??Ndio tatizo lenu hilo. Sasa biashara ya sifa bungeni hakuna tena mbunge tutakupima kwa maendeleo jimboni
Kama kaenda bungeni kushughulikia UKAWA; na wewe una muunga mkono, basi una matatizo katikati ya masikio!
wew hiyo live inakusaidia nin tbcfm wako hewani mda wote nasikia kinachoendelea , huku siku inaingiaUkiangalia jioni bado inakuwa live?
wew hiyo live inakusaidia nin tbcfm wako hewani mda wote nasikia kinachoendelea , huku siku inaingia