PICHA: Athari za mvua jijini Dar es Salaam

PICHA: Athari za mvua jijini Dar es Salaam

kinachosikitisha makosa haya yaliyofanyika jangwani yanaendelea kufanyika mbezi, kimara na ubungo wananchi kujenga kwenye mikondo ya mito like there is no city planner

hii mbaya sana

ni madhara ya kuendelea kuweka CCM madarakani

Nadhani kuna mambo tunaisingizia CCM.
 
kinachosikitisha makosa haya yaliyofanyika jangwani yanaendelea kufanyika mbezi, kimara na ubungo wananchi kujenga kwenye mikondo ya mito like there is no city planner

hii mbaya sana

ni madhara ya kuendelea kuweka CCM madarakani

Ccm inaingia vipi kwenye maeneo yanayotawaliwa na chadema?..
 
Toeni namba za simu tuanze kuchangia waathirika bana mbona mnachelewa hivi
 
Wazee wa Rambirambi mko wapi? Fungua mpesa na tigopesa tuchangie ila mtupe na matumizi maana historia ilishawahukumu...
 
Wazee wa Rambirambi mko wapi? Fungua mpesa na tigopesa tuchangie ila mtupe na matumizi maana historia ilishawahukumu...
Muda si mrefu tu utasikia hii ishu ya kuchangia inaanza kutangazwa kwa sana.
 
Mamlaka ya hali ya hewa siku hizi wanatoa taarifa za kweli..
 
Muda si mrefu tu utasikia hii ishu ya kuchangia inaanza kutangazwa kwa sana.

Ndo zao..walitupiga Jangwani, wakatupiga kwa Kanumba R.IP, wametupiga issue ya Mabwe pande nasikia hata kwa Mwangosi RIP
 
Waziri wa miundo mbinu yupo wap Jaman wanajenga barabara za mwendo kasi wakati miundo ya Maji mibaya...Serikal Duh kama Posta mjn maj yamejaa je uswahiln huko itakuaje
 
Lawama lazima ziwarudie wapanga mji na serikala mana hapa Dar nilitegemea ingekuwa rahisi zaidi kupeleka maji baharini...
Mvua ni janga,hapa kwetu kuna kama kamteremko kdogo kuja getini so tunaogelea tu....
 
Kuhusu mipango miji namatumizi ya ardhi ni MojA kwa moja lawama kwa serikali. Hakuna siasa inapokuja upangaji wa matumizi ardhi. Kumbuka Zimbabwe.
 
Back
Top Bottom