ata uje na greda sitoki bondeni raha sana pia bondeni karibu na mjiniMvua na inyeshe tu, kuna watu wanameamua kuwa samaki na Hawataki kuondoka mabondeni
dah, huku Manyoni mvua znapga sema wanasherekea ili mpunga,vitunguu na maindi yao yawe pouwa... Kla nkifikiria kurud hom dsm na taarfa nnazo zpata naona bora nvunge kwanza
Umeona nondo hizo? Za 10mm....unajenga daraja kama nyumba ya bata??!
Kwa Dar wananchi wengi hawana makosa though kuna wachache wanalazimisha kujenga sehemu zilizokatazwa, kinachotokea hapa 75% ya jiji la Dar halijapimwa hivyo hakuna utaratibu mzuri wa kujenga nyumba (unakuta nyumba nyingine imeangalia kushoto, nyingine kulia kiasi kwamba hata namna ya kuyatengenezea maji mkondo inakuwa ngumu. Ukiongeza na waliojenga kwenye mkondo wa maji ndio kabisa. Nyumba zinatakiwa zipeane mgongo yaani mtaa mmoja unaangalia magharibu au huku nyuma unaangalia mashariki alafu kunakuwa na mitaa mingine midogo midogo inaunganisha mtaa wa magharibi na wa mashariki (hapa sasa ndio inakuwa rahisi kuyatafutia maji mkondo wake na si utaratibu huu wa kujenga ili mradi kujenga)kinachosikitisha makosa haya yaliyofanyika jangwani yanaendelea kufanyika mbezi, kimara na ubungo wananchi kujenga kwenye mikondo ya mito like there is no city planner
hii mbaya sana
ni madhara ya kuendelea kuweka CCM madarakani
Mwulize Mbowe ruzuku kapeleka wapi, watu wanavua magwanda!
Umeona nondo hizo? Za 10mm....unajenga daraja kama nyumba ya bata??!