GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,546
- 108,877
Mbona jengo la yanga sijaliona?
Muulize Mr.Misifa Mzee Akilimali......................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mbona jengo la yanga sijaliona?
Haya ni maeneo ya mburahati kwa asubuhi ya leo
LEo ni majanga kila kona. Nilikuwa na kikao na DC bagamoyo. Nimefika mapinga daraja ukingo umekatika. Nimerudi nipite Tamco kibaha nakuta foleni kali Kibamba, naambiwa daraja la Kabila ya Mizani Kibaha nalo limekatika.eeeeheh.hayo yote ukandarasi wa KI CCM.
Staili hii ya kuvunjika daraja si staili ya mafuriko ila ya tetemeko.Tupia na zako hapa
Staili hii ya kuvunjika daraja si staili ya mafuriko ila ya tetemeko.
Bagamoyo mkuu, daraja la Kiwangwa