PICHA: Afrika tunakwama wapi?

PICHA: Afrika tunakwama wapi?

The level of development between Africa and Europe up to 21 century is not the same.
 
Vijana wa Afrika bado. Huoni wakipewa madaraka wanaishi kwa mihemko. Wengi busara ndogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Afrika kwenye siasa wanaingia matapeli na siyo wenye akili. Mimi kwanza sioni kama umri ni kigezo cha kuonyesha uongozi bora. Mnaweza kuongozwa na wazee wenye miaka 80 wote lakini wakawa wazuri kuliko wenye miaka 30.
 
tatizo lenu hamueleweki wakiwapa uongozi vijana bado mnalalamika kwamba hawana uzowefu wa kuongoza na majungu mengine kibao, makonda , hapi, mnyeti sabaya joketi hao ni mfano tu jinsi walivyotukanwa mitandaoni baada ya kupewa uongozi, africa kuanzia viongozi mpaka waongozwa ni ujuha mtupu, Mungu bado ana kazi kubwa sana ya kurekebisha kitu wanachotumia kufikiria waafrica, kama ni makario amewapatia lakini ubongo hakuna kitu,
nb
mimi sio muafrika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom