PICHA: Afrika tunakwama wapi?

PICHA: Afrika tunakwama wapi?

Punguzeni kuiga na kufanya comparison ambazo hazina mantiki....
mazingira ya Ulaya na Africa ni tofauti sana
tek that to your wallet......
Wise up, Bro. Akili ya mwanadamu unazidi KUDUMAA kila umri ukizidi, tunasema Ukizeeka akili Inakuwa ya mtoto..

Ni aibu na fedheha kuweka mtu mwenye miaka zaidi ya 60 kuwaongoza wengine, uwezo wa KUFIKIRI, KUAMUA , KUWAZA na KUWAZUA unakuwa mdogo ukizeeka

Nchi za Afrika tunaamini kuwa uzee ni busara, lakini sio kweli, mtu akiwa mzee maamuzi yake ya nakuwa ya WOGA

Jaribu kufanya utafiti, wale viongozi wa Kiafrika waliopigania UHURU walikuwa na umri gani?walipoanza kupigania Uhuru Utakuta wengi wao Walikuwa katika miaka ya ujana yaani kuanzia 20-30..wakati wanapambana na mkoloni..
 
Wise up, Bro. Akili ya mwanadamu unazidi KUDUMAA kila umri ukizidi, tunasema Ukizeeka akili Inakuwa ya mtoto..

Ni aibu na fedheha kuweka mtu mwenye miaka zaidi ya 60 kuwaongoza wengine, uwezo wa KUFIKIRI, KUAMUA , KUWAZA a na KUWAZUA ni ndogo sana..

Nchi za Afrika tunaamini kuwa uzee ni busara, lakini sio kweli, mtu akiwa mzee maamuzi yake ni WOGA

Jaribu kufanya utafiti, wale viongozi wa Kiafrika waliopigania UHURU walikuwa na umri gani? Utakuta wengi wao Walikuwa katika miaka ya ujana yaani kuanzia 20-30..wakati wanapambana na mkoloni..
Utaongea siasa nyingi sana.....
but nilichoandika ndio reality
 
Utaongea siasa nyingi sana.....
but nilichoandika ndio reality
Ni reality na nini sio reality ni mtazamo wa mtu husika..

Unaweza kuona unachoongea ni reality wengine wakaona unaongea pumba..

Ukweli utabaki pale pale nguvu za UJANANI haziwezi kuwa sana na nguvu UTUUZIMANI na haziwezi kuwa sawa na nguvu za UZEENI..
 
Ni reality na nini sio reality ni mtazamo wa mtu husika..

Unaweza kuona unachoongea ni reality wengine wakaona unaongea pumba..

Ukweli utabaki pale pale nguvu za UJANANI haziwezi kuwa sana na nguvu UTUUZIMANI na haziwezi kuwa sawa na nguvu za UZEENI..
Unachobisha ni kipi hapa!!??
unless hujielewi
Mimi nakueleza kitu kinacho happen ....
on the ground right now....
kwamba kwa mazingira ya nchi za Africa
wanaokuwa favoured kwenye uongozi ni wazee ww unabisha!!?
ww unazungumzia illusions.....alaa
 
Mitaala yetu mibovu inayowafanya watu wamalize vyuo wakiwa na mvi ndio inayotukwamisha halafu viongozi vijana waliopo wanajimwabafy kiasi cha kufanya teuzi kubwa wapewe wazee ambao wengi hawana makuu
 
Unachobisha ni kipi hapa!!??
unless hujielewi
Mimi nakueleza kitu kinacho happen ....
on the ground right now....
kwamba kwa mazingira ya nchi za Africa
wanaokuwa favoured kwenye uongozi ni wazee ww unabisha!!?
ww unazungumzia illusions.....alaa
Sibishi kwa hilo, kwasababu Waafrika ni watu wa mwisho duniani, utampaje uongozi mtu ambae akili yake imeshadumaa,akili imerudi kuwa ya mtoto
 
Back
Top Bottom