Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,054
- 6,281
Baada ya mkutano wa Dr. Slaa Kuvunjwa kwa fimbo na mawe, kilichofuata baadae ni mapambano kati ya polisi na wananchi wanaompinga Dr. Slaa
Baada ya mkutano wa Dr. Slaa Kuvunjwa kwa fimbo na mawe, kilichofuata baadae ni mapambano kati ya polisi na wananchi wanaompinga Dr. Slaa
safi sana, tunawashukuru ndugu zetu wa Kasulu na Kibondo kwa kazi nzuri
Ukizitazama picha shusha macho kwenye makanyagio yao, ukweli umasikini na ujinga wetu watanzania ni mtaji mkubwa kwa ccm
Viroba tupu apo. Hakuna mwenye kadi ya kupigia kura apo. Walishauzaga kwa maccm.
Umeona eenh atleast unaona kwa jicho moja!!!!!
Halafu unaenda kwa watu hawa kuomba kura kwa kutumia helicopter na hawahoji!!!!!
Fumbua na jicho la pili mkuu!!!!!!
Dah siamini kama ubaguzi umekuwa mkubwa kiasi hiki. Yaani Wachaga sana wanaonekana kama aliens kiasi cha kupigwa vita hivi! Na dhani vita ya kikabila haiko mbali.