Picha 7 za vurugu kubwa zilizotokea Kasulu Kigoma Kumpinga Dr. Slaa......yakiwemo mabango makali

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
1.png

1462988_1495113184048044_19835484_n.jpg
1476459_1495113377381358_40530360_n.jpg
1450192_1495155387377157_1063479637_n.jpg
1450185_1495113467381349_1869304246_n.jpg
1450315_628801287181946_550272832_n.jpg
1478988_613771452015965_517396885_n.jpg

Baada ya mkutano wa Dr. Slaa Kuvunjwa kwa fimbo na mawe, kilichofuata baadae ni mapambano kati ya polisi na wananchi wanaompinga Dr. Slaa
 
Ukizitazama picha shusha macho kwenye makanyagio yao, ukweli umasikini na ujinga wetu watanzania ni mtaji mkubwa kwa ccm
 
Ukizitazama picha shusha macho kwenye makanyagio yao, ukweli umasikini na ujinga wetu watanzania ni mtaji mkubwa kwa ccm

Umeona eenh atleast unaona kwa jicho moja!!!!!

Halafu unaenda kwa watu hawa kuomba kura kwa kutumia helicopter na hawahoji!!!!!

Fumbua na jicho la pili mkuu!!!!!!
 
Umeona eenh atleast unaona kwa jicho moja!!!!!

Halafu unaenda kwa watu hawa kuomba kura kwa kutumia helicopter na hawahoji!!!!!

Fumbua na jicho la pili mkuu!!!!!!

1. Hujaelewa kabisa maana ya kauli hiyo, miaka 50 ya uhuru unaweza kutuambia sababu ya hao watu kuonekana hivyo kwenye makanyagio yao?

2. Je ccm inaweza kujitapa baada ya kuitawala Tanzania 50yrs bado wananchi wanaonekana hivyo? kweli hayo ndiyo maendeleo?

3. Unadhani kama sio ujinga na umasikini wa uelewa katika hali kama hiyo bado mtu anaweza kuishabikia ccm?
 
Hapo kweli hakuna watu bali watu ambao ni sawa na taka. Angalia huyo mwenye sngland ya njano, huangalii mara mbili kujua kuwa ni viroba tupu hapo na siwezi fikiria hata kama alishawahi kupiga kura huyo.
 
Huwezi kukoroga sumu kisha uionje kujua ukari wake hata siku moja, itakudhuru tu kama siyo kukuua!

Body without head
 
Inasikitisha kuwa kuna watu wanafurahia na kuyashabikia haya wakifikiri ni ya Chadema lakini hizi chuki zinazopandikizwa zitatugharimu baadae na pia siku zijazo tutashindwa kujua zimetokea wapi kumbe sisi wenyewe tulipandikiza. Viongozi wa nchi sijui wako wapi au haya hayawahusu?
 
Dah siamini kama ubaguzi umekuwa mkubwa kiasi hiki. Yaani Wachaga sana wanaonekana kama aliens kiasi cha kupigwa vita hivi! Na dhani vita ya kikabila haiko mbali.
 
Dah siamini kama ubaguzi umekuwa mkubwa kiasi hiki. Yaani Wachaga sana wanaonekana kama aliens kiasi cha kupigwa vita hivi! Na dhani vita ya kikabila haiko mbali.

huu ukabila naona unachochewa na watu wachache .Tanzania uwa hakuna ukabila
 
Back
Top Bottom