Picha 7 za vurugu kubwa zilizotokea Kasulu Kigoma Kumpinga Dr. Slaa......yakiwemo mabango makali

Nyie msimponze Zitto bure na mamluki wenu, mwenZenu keshaomba. Msamaha nyie mwambwelambwela Tu
 
...kwani kunatafsiri mbili za neno vurugu kubwa..?hakukuwa na maana ya kuweka heading ambayo haina uhalisia wa kinachotokea huu ni upotoshaji...

mpaka mabomu ya machozi yanapigwa na ile kimbiza kimbiza na kipigo bado unaona vurugu ndogo
 
Wewe Uledi who told u Slaa is Chagga lakini kwa Wachina is ok, Miafrika naturally hawapendi maendeleo
 
Hao ndio walimpa kura Slaa, leo mnawaita wahuni. Cdm bwana. Hivi leo ndio unaona walivyo walipotoa kura kwa Fr. walikuwa sawa sio?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom