PICHA 18: Diamond Platnumz na Team yake WCB walivyoziuza tiketi kwa mashabiki

Mzee wa 'Sold Out' naona safari hii kumebuma mpaka kaamua aingie mwenyewe mtaani kuuza tiketi

Ama kweli hali ni mbaya,pamoja na Diamond kujitokeza kuuza mwenyewe tiketi ndio watu hao wawili tu?
Nilitegemea kuona mafuriko!
Mhhhhhh!
Poleni in advance WCB!

Hali c shwari kaamua kuingia mzigoni mwenyewe uchumi umekaba

Usawa huu anaweka kiingilio elfu 30 akati wengi wa mashabiki wake ni watu wa kipato cha chini
Hiyo inaitwa CREATIVITY.. na ndicho kitu ambacho watoto wa kariakoo hamkijui na hamkiwezi na ndicho kinachowafanya tuwashinde daily..

Ni dizaini kama Obama 2008 alipoungana na volunteers wake kupita mitaani jimbo la Iowa kugonga mlango nyumba kwa nyumba kuomba kura.. Kwa nyinyi watoto wa kariakoo mtasema "Obama maji yako shingoni" lakini sisi watoto wa madale tunasema "making personal connection with your supporters".!!

That means alot kwa fans.. But hamuwezi kuelewa hilo watoto wa kariakoo

Ukitaka show ya Elfu 10 subiri show ya "yeeeeeeaaaahh".!!
And kwa taarifa tu, Tiketi zimeisha.. Subirini kesho kwenye show mtapaa majibu

Nifah natamani nirudi haraka niwahi twende kwenye show! Unakumbuka tuna complimentary tickets mbili za VIP
 
Kwa shooo gani kwa nyimbo zipi nitoe buku 30 ndugu yangu
4b144fdfa2c2df376035b299503f256c.jpg
 
Hiyo inaitwa CREATIVITY.. na ndicho kitu ambacho watoto wa kariakoo hamkijui na hamkiwezi na ndicho kinachowafanya tuwashinde daily..

Ni dizaini kama Obama 2008 alipoungana na volunteers wake kupita mitaani jimbo la Iowa kugonga mlango nyumba kwa nyumba kuomba kura.. Kwa nyinyi watoto wa kariakoo mtasema "Obama maji yako shingoni" lakini sisi watoto wa madale tunasema "making personal connection with your supporters".!!

That means alot kwa fans.. But hamuwezi kuelewa hilo watoto wa kariakoo

Ukitaka show ya Elfu 10 subiri show ya "yeeeeeeaaaahh".!!
And kwa taarifa tu, Tiketi zimeisha.. Subirini kesho kwenye show mtapaa majibu

Nifah natamani nirudi haraka niwahi twende kwenye show! Unakumbuka tuna complimentary tickets mbili za VIP

Wazee wa sold out
Kesho tunataka picha za kila angle,ile tabia yenu ya kutupigia picha za karibia na stage tu hapana taka

Hamna cha marketing strategy wala nini,kwani hii ndio show ya kwanza ya Diamond?
Aaarrrgghhh tuache maneno tusubiri kesho panapo majaaliwa

Nimenuna kama nini hapa tena usinikumbushe
Uliniambia #kajiandae# nimejiandaa...
 
Nendeni tu sisi tuakuwa nyumani tuasikiliza "sauti ya muziki".
 
Hawa sio wa kuhangaika nao mkuu... tusibiri kesho... they will be surprised!
 
Wazee wa sold out
Kesho tunataka picha za kila angle,ile tabia yenu ya kutupigia picha za karibia na stage tu hapana taka

Hamna cha marketing strategy wala nini,kwani hii ndio show ya kwanza ya Diamond?
Aaarrrgghhh tuache maneno tusubiri kesho panapo majaaliwa

Nimenuna kama nini hapa tena usinikumbushe
Uliniambia #kajiandae# nimejiandaa...

Sisi ndio wajuzi wa hizi mambo, we are running this sh*t..

Babes you know how much i wanted us to be there tomorrow..
Nimemaindi kinoma leo sijaweza hata kuwepo Mlimani city with the team
 
We shall see then

Never mind my love...it's okay.
I do understand...
 
Back
Top Bottom