Diamond na team nzima ya WCB kufanya show ya bure uwanja wa taifa

HB.com

JF-Expert Member
Oct 19, 2015
607
638
Msanii na CEO wa WCB Diamond platnumz kuja na show ya bure yeye pamoja na Team yake nzima ya WCB yaani Richmavoko, Harmonize, Rayvanny, Queen darling na LavaLava Mnamo tarehe 5/8/2017

NINI MAONI YAKO MDAU WA MUZIKI JUU YA UAMUZI HUU WA DIAMOND na WCB

1500981622753.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenye roho mbaya washaaza kujitokeza kweli Simba sio mtu mzuri , kuna watu wakisikia jina lake wanaweweseka nukta.
 
Wanataka watu waende kuvunja viti na kupakaza kinyesi chooni maana sio kwa nyomi hiyo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Msanii na CEO wa WCB Diamond platnumz kuja na show ya bure yeye pamoja na Team yake nzima ya WCB yaani Richmavoko, Harmonize, Rayvanny, Queen darling na LavaLava Mnamo tarehe 5/8/2017

NINI MAONI YAKO MDAU WA MUZIKI JUU YA UAMUZI HUU WA DIAMOND na WCB

View attachment 550070

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini Useme ya Bure wakati Vidacom ndiyo wamelipia? Au Mkataba Umeshaisha
 
Badala ya kufanya shoo ya bure ni bora wawaachie TRA wakusanye mapato.
Walipe kiingilio cha Tsh. 200 kwa TRA, itaisaidia na kuiepusha TRA kutumbulia mimacho hela za utata kutoka kwa kina ngeleja.
 
Wamelipwa na serikali kufanya show siku hiyo

Siku hiyo ni tarehe ambayo Magufuli atakuwepo kuazimisha siku ya Usalama Barabarani

Rais atakuwepo na wameona wapeleke na wasanii ili watu waende maana vinginevyo watu wasingeenda
alaaa kumbe, nilikuwa sijui ati
 
Back
Top Bottom