photoshop tutorial: tutengeneze bling bling 3d text effect

photoshop tutorial: tutengeneze bling bling 3d text effect

Astro we mkali unajifunza haraka
 
Last edited by a moderator:
yaani nimeangalia had nikaona nifumbe jicho moja, nikaangalia na moja tu, halioni, nikafinya yote, nikaigeuza laptop yangu chini juu, kushoto na kulia bado sielewi tu

1st. naomba hiyo adobe photoshop nidownload, kwa kuwa sina
2nd. ntarudi tena , hili darasa zuri sana
 
software loading...
attachment.php


leo tutengeneze 3D BLING BLING TEXT EFFECT




Hatua
1
andika neno ambalo tutalibadilisha kuwa bling bling likikamilika. Ukishaandika
Right click kwenye layer palette na chagua Rasterize layer, hii itafanya neno liweze kufanyiwa effect kwa urahisi

View attachment 63597


Hatua 2 fanya selection kulizunguka hilo neno,
kisha bonyeza kwenye keyboard "D"kurudisha rangi za asili kisha nenda
Filter>render> clouds
kama render menu haionekani, hakikisha unarudisha RGB mode. na inatakiwa itokee kama kwenye hii picha hapa chini
View attachment 63598


Hatua
ya 3
kinachofuata ni kuweka effect ya almasi aka diamonds.
hapa unaenda kwenye. Filter> Distort> glassChagua tiny lens texture kisha ipunguze vipimo.tupia vipimo nilivyoonesha hapo chini. kisha bofya OK
View attachment 63599

hatua ya 3.5
ili kupata mng'aro kama wa almasi nenda kwenye Curves
igiza nilivyofanya kwenye picha mpaka upate mfano wa almasi kama inavyoonekana
View attachment 63600




hatua ya 4
tushapata almasi yetu sasa kinachofuata tuizungushie dhahabu eneo lote
View attachment 63601
Hatua ya 5
nenda kwenye blending mode, kisha chagua stroke.
zingatia yafuatayo:
Position = Center
Fill type: colour

color= red
size fanya 9 au kumi ila izidi sana haitatokea poa

View attachment 63602





Hatua ya 6ukiwa bado kwenye blending modeClick Bevel and embossChagua "Stroke Emboss"technique: Smoothdepth: 100%gloss conour: chagua vimilima viwiliClick OK
View attachment 63603


hatua ya 7


kinachofuata ni kuitoa hiyo rangi nyekundu ili iwe mfano wa dhahabu
View attachment 63604

hatua ya 8


nenda kwenye Hue/Saturation adjustment layer na kipeleke kimshale cha saturation mpaka 100Cheza na Hue mpaka upate rangi ya dhahabu unayotaka
View attachment 63605

hatua ya 9


kitu cha mwisho ni kuweka ile ming'aro ya dhahabukwenye brushes chagua assorted brush setkisha chagua small starburst kama nilivyoonesha.
hakikisha rangi iliyo mbele ni nyeupe (foreground color)
View attachment 63606

hatua ya 10ongezea mng'aro wa dhahabu kutengeneza layer mpya na kuptisha tena brashi maeneo yale kwa kurudia rudia mpaka uridhike. mwisho itatokea hiviView attachment 63607

vipi umeweza.............?







 
yaani nimeangalia had nikaona nifumbe jicho moja, nikaangalia na moja tu, halioni, nikafinya yote, nikaigeuza laptop yangu chini juu, kushoto na kulia bado sielewi tu

1st. naomba hiyo adobe photoshop nidownload, kwa kuwa sina
2nd. ntarudi tena , hili darasa zuri sana

nenda piratebay ukaisearch au google ukiipata ina MB kama 300 ambayo ni cracked so itabidi iwe na speed sana machine yako..
 
BBC na jamiif hahahaaa mmeona mauza uza enheeeee?
 
Last edited by a moderator:
C6 ahsante yani hizi tutorial zako unaelezea vizuri sana ndio maana naweza kuzielewa haraka
 
Step nilizofuata ni hizi hapa
1. Fungua new document na ipe background nyeusi and type text yoyote unayotaka. (font ni Hobo Std and size weka yoyote inayofaa)
1.png
2.Bonyeza CTRL+ALT+SHIFT+E ili uweze to combine layers zako (TEXT and Background) and kuziweka kama new layer juu ya hizi mbili ulizo nazo. (You should have something similar to this...)
1.png
3.Nenda Edit > Transform > Rotate 90CCW...text yako itaonekana hivi...
1.png
4.Nenda kwenye Filter > Stylize > Wind and Wind, Direction: From the Right.(Rudia kama mara tatu) upate effect kama hii
1.png
5.Rotate picha yako kama ilivyokuwa mwanzo and nenda Filter > Blur > Gaussian Blur weka Radius 5.0 px. upate huu muonekano
1.png
6.Nenda Image > Adjustment > Hue/Saturation chagua Colorize weka Hue=35 na Saturation=90. 1.png yep tunakaribia.
7.Duplicate hii layer and nenda tena kwenye adjustments iwekee Hue=-35 and nenda kwenye blending Options iwekee COLOR DODGE
Punguza fill opacity mpaka arround 27% 1.png
8. Merge hizi layer mbili (zenye hii effect kama ya moto) Simply select layer ya juu kabisa and right click and select (MERGE DOWN)
Chagua Filter > Liquify and chagua Warp tool,weka brush size kwenye arroudn 37 na brush pressure kwenye kama 45
anza kuclick ndani ya text [kuanzia juu kidogo (top half) kumbuka unatumia smudge tool] and while umeclick elekea juu ukitoka nje ya text,
9.Unaweza ukarudia kama haikuridhishi ila punguza kidogo brush pressure unaporudia usije uka deform text yote kabisa.
1.png
10. Sasa tunaileta ile text yetu juu ya layer zote ili iwe visible and tutabadilisha color yake kuwa nyeusi ili ionekane vizuri.
1.png
11. Sasa kilichobaki ni kurastarize hiyo layer yetu then tutakwenda kwenye eraser tool na kuchagua soft brush (size weka kama 160-170 depending na text yako) futa kidogo upande wa juu ufike kama hapa
1.png
I hope tutakuwa tumefika hapa bila tatizo.
 
Last edited by a moderator:
huz, comp yangu ilibadilishwa ikawekwa mpya. sa hii mpya haina hyo programe. niletee basi kwny external.
 
Nilidhani peke yangu............................
kila mtu na kipaji chake, mi ntakuwa nawalipa wanifanyie hizo photoshop. Nimekubali siwezi kuwa mtaalamu wa kila kitu!
Mi nadhani tujutahidi kuwa wataalam wa kutumia miili na viungo vya miili yetu. Unasemaje mkwe?
 
Mi nadhani tujutahidi kuwa wataalam wa kutumia miili na viungo vya miili yetu. Unasemaje mkwe?
huko nina uhakika ni mtaalamu kabisaaaaaaaaaaaaaa, yaani sihitaji brush tena Mkwe
 
cs5 zipo toleo nyingizaidi ya moja)...na 3d effect ipo kuanzia cs5 extended vs....sijakariri ki2,,,sababu mambo haya nayajua vizuri sana...
 
Back
Top Bottom