MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,756
- 6,684
ebana mi natumia photoshop 7 ila maujanja sina!! Nilijitahidi ila niliishia kwenye curves coz sikuziona kabisa!! Yaani mchele mchele tu nabaki kutamani tu!! Na mm nifanyaje mkuu? Nifundisheni wakuu!! :a s 20: