photoshop tutorial: tutengeneze bling bling 3d text effect

photoshop tutorial: tutengeneze bling bling 3d text effect

Joeli

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
4,941
Reaction score
3,416
attachment.php


Leo tutengeneze 3D BLING BLING TEXT EFFECT





Hatua
1
andika neno ambalo tutalibadilisha kuwa bling bling likikamilika. Ukishaandika, Right click kwenye layer palette na chagua Rasterize layer, hii itafanya neno liweze kufanyiwa effect kwa urahisi

attachment.php

Hatua 2 fanya selection kulizunguka hilo neno, kisha bonyeza kwenye keyboard "D"kurudisha rangi za asili kisha nenda

Filter>render> clouds
kama render menu haionekani, hakikisha unarudisha RGB mode. na inatakiwa itokee kama kwenye hii picha hapa chini


attachment.php



Hatua
ya 3
kinachofuata ni kuweka effect ya almasi aka diamonds.
hapa unaenda kwenye. Filter> Distort> glassChagua tiny lens texture kisha ipunguze vipimo.tupia vipimo nilivyoonesha hapo chini. kisha bofya OK

attachment.php



hatua ya 3.5
ili kupata mng'aro kama wa almasi nenda kwenye Curves
igiza nilivyofanya kwenye picha mpaka upate mfano wa almasi kama inavyoonekana

attachment.php






hatua ya 4
tushapata almasi yetu sasa kinachofuata tuizungushie dhahabu eneo lote

attachment.php


Hatua ya 5
nenda kwenye blending mode, kisha chagua stroke.
zingatia yafuatayo:
Position = Center
Fill type: colour

color= red
size fanya 9 au kumi ila izidi sana haitatokea poa


attachment.php




Hatua ya 6ukiwa bado kwenye blending modeClick Bevel and embossChagua "Stroke Emboss"technique: Smoothdepth: 100%gloss conour: chagua vimilima viwiliClick OK

attachment.php

hatua ya 7


kinachofuata ni kuitoa hiyo rangi nyekundu ili iwe mfano wa dhahabu

attachment.php



hatua ya 8


nenda kwenye Hue/Saturation adjustment layer na kipeleke kimshale cha saturation mpaka 100Cheza na Hue mpaka upate rangi ya dhahabu unayotaka
browse(11).jpg

hatua ya 9


kitu cha mwisho ni kuweka ile ming'aro ya dhahabukwenye brushes chagua assorted brush setkisha chagua small starburst kama nilivyoonesha.
hakikisha rangi iliyo mbele ni nyeupe (foreground color)
ScreenShot025.jpg

hatua ya 10ongezea mng'aro wa dhahabu kutengeneza layer mpya na kuptisha tena brashi maeneo yale kwa kurudia rudia mpaka uridhike. mwisho itatokea hivi ScreenShot026.jpg

vipi umeweza..........




 

Attachments

  • ScreenShot017.jpg
    ScreenShot017.jpg
    11.3 KB · Views: 161
  • ScreenShot018.jpg
    ScreenShot018.jpg
    19.9 KB · Views: 159
  • ScreenShot019.jpg
    ScreenShot019.jpg
    8.6 KB · Views: 161
  • ScreenShot020.jpg
    ScreenShot020.jpg
    36.5 KB · Views: 156
  • ScreenShot0201.jpg
    ScreenShot0201.jpg
    22.6 KB · Views: 139
  • ScreenShot021.jpg
    ScreenShot021.jpg
    29 KB · Views: 146
  • ScreenShot022.jpg
    ScreenShot022.jpg
    34.6 KB · Views: 133
  • ScreenShot024.jpg
    ScreenShot024.jpg
    33 KB · Views: 137
Mkuu C6 kwa maelezo yako hapo juu kwa mtu ambaye hajawahi kufanya photoshop kabisa hawezi kufanikiwa kufika hata step 2.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu C6 kwa maelezo yako hapo juu kwa mtu ambaye hajawahi kufanya photoshop kabisa hawezi kufanikiwa kufika hata step 2.

ni. kweli kuna. baadhi ya step za mwanzo karuka kama kuset size ya canvas ,background n.k. Ila sio lazima utumie CS 5 hata CS 3 yafanya kazi
 
Last edited by a moderator:
ni. kweli kuna. baadhi ya step za mwanzo karuka kama kuset size ya canvas ,background n.k. Ila sio lazima utumie CS 5 hata CS 3 yafanya kazi

sio kwamba yeye ndio anatumia CS 5 ili baidi afanye kama leh kwenye animated word na cs 3
 
C6 , mi hutumia style tofauti kutengeneza *bling bling* effect. ila nimependa hii yako, its simple and quick. mie mpaka nitumie filter>noise>dust & scratches ili niweze kuweka glitter ya bling. matokeo kama hivi:

11gnmna.jpg
 
Last edited by a moderator:
kazi nzuri lakini hilo neno sio 3D,......and 3d effect zipo kuanzia CS5-extended edition
 
erickmalz unajua maana ya 3D? three dimension, unatakiwa uone height, width na length katika angle yoyote tofauti na 2D ambayo utaona height na width pekee, 3D effect inatengenezwa mpaka na adobe 7, sema tu wewe umekariri eti umeona kwenye cs5 kuna menu ya 3D, FYI nimetumia CS5 kutengeneza hii
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom