Hiyo ndiyo nidhamu ya kazi, uzalishaji sifuri.
Kumbe Kaputura na Track Suit ni Mavazi ya kihuni
Huyo atakuwa na undugu na yule wa Mazizini Ukonga anayeitwa Mawimbi, wote nimewapendea ubunifu wao. Inavyooneka huyu ni dada na yule wa Ukonga ni kaka, kama sio mume na mke. Kwikwikwikwikwikwikwikwiiii...Tanzanians should take a cue from this ingenious creature. Rather than wait for the leaves to fall, it has used it initiative to achieve its objectives
I think he meant nguo ni too casual for work. Halafu huyo katibu hajui kuandika official memo
Dhaifu angekuwa mbunifu angalau kama huyo mee nadhani tungepiga hatua kidogo kwenda mbele, badala ya kupiga hatua kurudi nyuma kama inavyotokea sasa.
huyo jamaa akitoka hapo anakwenda kumpa demu pesa zote