Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,649
- Thread starter
- #21
Kwanini mkuu?Vitu vinavyoelezewa humu..inaonyesha jins gani nimechelewa kuiona dunia!
Kwanini mkuu?Vitu vinavyoelezewa humu..inaonyesha jins gani nimechelewa kuiona dunia!
Hakuna kitu hata kimoja nachokielewa hapo zaidi ya neno "PC"Kwanini mkuu?
Utakuwa sio mdau wa gaming na mambo ya tech ndio maana😀😀Hakuna kitu hata kimoja nachokielewa hapo zaidi ya neno "PC"
Unatumia direction key kusheza football?bro nunua padi mtumba ya PS3, narudia PS3 sio PS4, PS3.
kisha utumie SCP Toolkit, Chief Mkwawa kaweka maelezo bayana.
NB: padi za XBOX 360 zitakutesa kama unatumiaga D-Pad kucheza FIFA/PES sababu vitufe vyake vya direction vimeungana.
Kabsa..Nimekuja mjini mwaka huu mkuu! Ila ntaendelea kujifunza taratibu..game nalojua sijui wanaita Fifa ila kucheza hatujui!Utakuwa sio mdau wa gaming na mambo ya tech ndio maana😀😀
Mimi pia nazungusha tu, zile direction ukipata mchina kidole kinaweza kutoka sugu kabisa.Unatumia direction key kusheza football?
Virungu ni bora zaidi.
Ukitumia virungu uwakika wa kufungua na kufanya skills ni mkubwa zaidi.
Me virungu hapana aisee. Japo kuzungusha na mambo mengi ndio rahisi.Mimi pia nazungusha tu, zile direction ukipata mchina kidole kinaweza kutoka sugu kabisa.