Nashukuru sana kaka! Wabongo hawaishiwi maneno mengi, na hata ukiwaambia waandike hata program ya output text kwenye screen wanashindwa. Yet ukiandika yako wanakuponda na majungu mengi.J.f tech katika ubora wake...big up sana.....sasa wale vichwa panzi wenye comment za "sasa ya nini", "mbona kuna program nzuri zaidi ya hii", "jamaa amegoogle", "hii project ilishafanywa", n.k wekeni akiba ya maneno yenu ya kukatisha tamaa.
Big up sana kwa hio project na ingependeza uiambatanishe kwenye attachments kwa mfumo wa compressed archieve ili iwe rahisi zaidi kuacces projekti yako na sie tuitumie ama tuiendeleze zaidi.
Nahisi bado kalala tumgoje... Hata mimi natak ufafanuzi wake zaidi....Bdo nasubiri ufafanuzi mkuu.
Baada ya kugenerate hizo namba unaweza kutumia kuzifanyia nini?Habari kaka! Samahani kwa kuchelewa kujibu maswali yenu, ni kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu.
Kaka unaomba nikueleweshe wapi?
Vizuri sana mkuu.... big up lakini bado sijaelewa katika maelezo yako uliotoa, samahan kwa usumbufu hebu tufafanulie vizuri kuhusu iyo software inafanyaje kazi ani....
Alafu iyo link ya Mediafire uloweka ya kudownload haifanyi kazi....
Hizo number waweza tumia kuchezesha michezo ya bahati nasibu kama ile ya makampuni ya simu...
Yeah inaleta error na ndio maana nliona ungetusaidia kwa kuiupload directly kwa swrver za jamiiforums endapo haizidi mb 50Yes bro! Ikiwemo na hiyo, app hiyo inakazi nyingi sanaa!! Nikukaa tu na kufikiria kutumia kwa namna gani na kwanini!
Asante sana kaka! Eti ile link niliyokupa hujaweza kuifungua? Yani hujapata project yangu mpaka sahivi?
Mkuu nikisha generate phone namba then naifanyia nini au manufaa ya kufanya hiki kitu ni nini?Ahaa sawa basi.. ngoja naiupload sahivi...