Mie nimejaribu kumfuatilia na kila akitoa ufafanuzi ndio anazidi kunikoroga, mara onyo...mara zingatia....mara huwezi kuzitumia kwa sasa....Its like useless, labda sielewi. Kazi ya namba za simu ni nini?
sasa hyo software kama inaweza kugenarate hadi no ambazo zipo hewan kuna tofati gani na mimi nkiamua tuu kutunga no zangu kwa kichwa?? naona hakna tofauti
sasa hyo software kama inaweza kugenarate hadi no ambazo zipo hewan kuna tofati gani na mimi nkiamua tuu kutunga no zangu kwa kichwa?? naona hakna tofauti
Some people are here kwa lengo la kuangusha watu hata kwakile kidogo au cha kawaida walichokifanya but u, ur the best Mam hii project ikipata devlpmnt its massiveAudience yako ni watu wenye uelewa mdogo na IT au uelewa mdogo kwenye masuala ya hacking, hivyo hawawezi kuona manufaa ya hiyo program. Kimsingi, matumizi ya hii program kwa mtu wa kawaida ni madogo sana maana registration nyingi zinazohitaji namba ya simu huwa zinaverify kwa kutuma SMS na kwakuwa hiyo ni namba tu sio chip basi inakuwa haina faida. Hata hivyo natambua umuhimu wa program yako ktk [HASHTAG]#CyberSec[/HASHTAG].
Program yenye manufaa zaidi ingekuwa ile inayo-generete password maybe between 6-8 characters. Ingawa nayo haina manufaa kwa mtumiaji wa kawaida, at least ni interesting kwamba inamuwezesha mtu kupata illegal access kama anajua username. Nyingine ni ku-guess possible usernames kulingana na majina ya mtu. Unaweza ukafanya kwa email addresses pia. Tena ya email addresses ni muhimi zaidi maana unaweza ukawa unaziuza kwa ajili ya marketing/advertisement purposes.
Ability to generate phone numbers, pin, passwords, usernames and email addresses is crucial in hacking/offensive defense. Looking forward to working with you in [HASHTAG]#CyberSec[/HASHTAG] someday Andy Kawa

Some people are here kwa lengo la kuangusha watu hata kwakile kidogo au cha kawaida walichokifanya but u, ur the best Mam hii project ikipata devlpmnt its massive![]()
![]()
![]()
Audience yako ni watu wenye uelewa mdogo na IT au uelewa mdogo kwenye masuala ya hacking, hivyo hawawezi kuona manufaa ya hiyo program. Kimsingi, matumizi ya hii program kwa mtu wa kawaida ni madogo sana maana registration nyingi zinazohitaji namba ya simu huwa zinaverify kwa kutuma SMS na kwakuwa hiyo ni namba tu sio chip basi inakuwa haina faida. Hata hivyo natambua umuhimu wa program yako ktk [HASHTAG]#CyberSec[/HASHTAG].
Program yenye manufaa zaidi ingekuwa ile inayo-generete password maybe between 6-8 characters. Ingawa nayo haina manufaa kwa mtumiaji wa kawaida, at least ni interesting kwamba inamuwezesha mtu kupata illegal access kama anajua username. Nyingine ni ku-guess possible usernames kulingana na majina ya mtu. Unaweza ukafanya kwa email addresses pia. Tena ya email addresses ni muhimi zaidi maana unaweza ukawa unaziuza kwa ajili ya marketing/advertisement purposes.
Ability to generate phone numbers, pin, passwords, usernames and email addresses is crucial in hacking/offensive defense. Looking forward to working with you in [HASHTAG]#CyberSec[/HASHTAG] someday Andy Kawa
mkuu nimefanikiwa kuji subscribe kupitia link uliyoweka, nimekuuliza swali hapa hujanijibu. ukisha generate namba namna ya kuangalia namba zinazotumika na zisizotumika inasumbua, naomba uelekeze step kwa step mkuuHabari mama! Nashukuru kwa support na mchango wako katika thread hii niliyopost kwa lengo tu la kuwainspire ndugu zangu watanzania wengine wenye wivu na kazi hii ya Cyber Security and likes.
Hii ni among of my personal projects nilizotengeneza this year, including hiyo ya kugenerate passwords, na nyingine ambayo ni Caesar Cipher(encrypt, decrypts na bruteforcing), Advanced password cracker na kadhalika. Napenda sana kuwa natengeneza applications hizi za Cyber Security, na ninajitahidi kutengeneza nyingine zaidi kwa kadiri ya muda ntakaokuwa nao.
Nitafurahi pia kufanya kazi na wewe katika siku za usoni.
Asante! Karibu HackerHub | Forum Board
mkuu nimefanikiwa kuji subscribe kupitia link uliyoweka, nimekuuliza swali hapa hujanijibu. ukisha generate namba namna ya kuangalia namba zinazotumika na zisizotumika inasumbua, naomba uelekeze step kwa step mkuu
No benefits whatsoeverAsante sana kaka kwa swali zuri!
Kwa ningeanza kwa na kutoa ufafanuzi wa jinsi gani hiyo program inagenerate number za simu husika. Kama tunavyojua kuwa kila mtandao wa simu unanamba mbili (za mwanzoni baada ya 0 au +255) kuutofautisha na namba za mitandao mingine - namaanisha kwa mfano TIGO zao huwa ni 065xxxxxxx, 067xxxxxxx, na 071xxxxxxx ambazo huzitofautisha na mitandao mingine kama voda, Airtel na wengine ambao nao pia wanazo zakwao.
Hivyo program hii inatumia mfumo flani wa kuzitengeneza namba hizi kwa kila laini utakayoitaka, na ni mfumo ambao mimi ndo nimeutengeneza kwenye hiyo program yangu.
Namba ya simu imegawanywa katika sehemu tatu;
Mfano: +255-712-123456
1) +255
-Yenyewe inatambulisha ni eneo gani la nchi / kijeografia namba ya simu inapotumika. Mfano hiyo +255 ni kwa namba za Tanzania zipo nyingine za nchi nyingine na kadhalika.
2) -712-
-Namba hizo baada ya +255 zinatambulisha namba hiyo ni ya mtandao gani. Je, ni Tigo, voda, airtel au Halotel au wowote ule.
3) -123456
-Namba hizi ndo za mtumiaji wa mtandao husika wa simu, ni namba ambazo hazijirudii na wala kufanana na mtumiaji mwingine wa mtandao huohuo.
Faida za App hii:
Ingawa kwa sasa namba hizo zinazotengenezwa na app hiyo haziwezi kutumika hewani, yaani huwezi kupokea wala kupiga nazo simu wala kutuma na kupokea message.
Zifuatazo ni baadhi ya matumizi yake:
a) Unapotaka kutengeneza namba nyingi za simu labda kwaajili ya kuonyeshea sehemu flani, mfano labda unakazi/project ya kufanya na unataka kupata namba za simu nyingi tofauti tofauti kwaajili ya kujaza kwenye kazi yako hiyo.
b) Kwenye michezo ya bahati nasibu kama alivosema mwenzetu Machozi ya Simba.
c) Popote pale utakapotaka kutumia kama hutaki kutoa namba yako halisi ya simu. ZINGATIA: Isiwe kwenye mtandao au tovuti wanayotaka confirmation wala verification ya namba ya simu, kwa sababu hutaweza kupokea ujumbe huo wa maandishi.
ONYO: App hii inaweza ikagenerate namba za simu ambazo pia zinatumika na watu wengine, hivo kuwa makini!
Karibu HackerHub | Forum Board
Namba unagenerate sawa. Line / cheap unapata wapi?. Nini hasa faida yake?
No benefits whatsoever