Phone number generator (PNG) - by bl4ckbo7

Mi nashindwa kuwaclassify watu kama hao, ila poa tu haina shida, mi huwa nafanya things which are within my personal interests. Sipendagi kukata tamaa kirahisi, by the way kunaprojects nyingi nimefanya ikiwemo hata hiyo ya kugenerate passwords tena katika range anayotaka user mwenyewe.

Na YES! We need to work as community, so guys naomba tuendelee kuidevelop hiyo app, hopefully kama ulivosema kaka, itakuja kuwa very awesome baadae!

Thank you fellow members!

Kazi nzuri unaweza kaa chini ukaitengenezea ka project flan ka kupiga hela kama bahati nasibu. Mfano ile zamaniii ya pepsi unakuta namba katika kisoda then jioni kwenye tv zinatajwa na zawadi zake. So hii pia unaweza set mfumo mtu akawa anaotea namba na kutuma buku then mwisho wa wiki unatangaza washindi. Yani hivi weka namba ya kampuni, chagua kiasi, weka namba ya simu, submit then unapata ka verification text flan yani kama risiti kwa ajili ya ku claim. Something like that. (biko, mbet) Just an idea.

Aisee ntumie hiyo program ya password sounds great...upload attachment hapa kama ulivotuma PNG.

Keep up the good work.
Hopefully tutafanya kazi one day.
 
Thanks kaka! I appreciate your feedback bro!

Usijali nitapost hiyo thread ya password generator.. soon this week

Karibu HackerHub | Forum Board
 
Phone Number Generator

Inagenerate namba za simu za mitandao Tigo, Airtel, Vodacom, TTCL, Halotel na Zantel.

Features:

1) Unaweza kuchagua mtandao unaoutaka ikugeneratie namba zake.

2) Unaweza kuchagua idadi ya namba utakazotaka ikugeneratie za mtandao huo unaoutaka.

Download hapa

Phone Number Generator

Jiunge leo HackerHub | Forum Board kujifunza zaidi

[EDITED]
Hongera kwa kazi nzuri. Mkuu nahitaji utengeneze window. Kweny hii mambo tunatumia window za wenzetu tu, 7,8-10, xp & server.
Kama umeweza kutengeneza hiyo basi tengeneza window na ss wafrika tujivunie na window yetu
 
Asante kaka! Mungu akijaalia siku za usoni, Tanzania itakuwa sana katika Sayansi na Teknolojia!
 
Mr. Huwa nachukia sana kutumia vitu vya wazungu wakati na ss tuna knowledge ya kutengeneza. Naona developer wengi wanaishiakutengeneza APPLICATION TU. Ni muda wa kuwaonyesha wazungu na ss tunaweza.
Mr sina uwezo wala knowledge ya kutengeneza software lkn ningekuwa vizuri, ningehakikisha nimetengeneza window.
Fanyeni hivyo developers na sisi Africans tuweke historia.
Kijana mdogo mjapan miaka 14 ametengeneza ransomware, ss tunashindwa vipi?
 
Daah! Nikweli kaka.. Inabidi tujitahidi
 
Daah! Nikweli kaka.. Inabidi tujitahidi
Inabid mfanye hivyo. Kweny application, mgetengeneza ambayo unaweza kutuma vitu mpaka vyenye GB 20.
Unatuma program ambazo zipo kweny format yyte exe, apk n.k, video, film, movie, pdf, doc, unachat, unapiga video call n.k
huwa nahuzunika sana kuendelea kutumia vitu vya mzungu wakati uwezo tunao.
 
Back
Top Bottom