shalet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 3,428
- 3,510
hii sio project ni mchezo wa kitoto ambao hauna manufaa yoyote hizo ni random namba kwenye java unatumia code moja tu ya math.random() kupata hizo namba na una concatenate na code za mwanzo za mtandao hakuna kitu cha kipekee ushauri wangu focus kwenye serious projects.