Phone number generator (PNG) - by bl4ckbo7

Mkuu nikisha generate phone namba then naifanyia nini au manufaa ya kufanya hiki kitu ni nini?
Samahani lakin

Hizo number waweza tumia kuchezesha michezo ya bahati nasibu kama ile ya makampuni ya simu...

Namba hizi unaweza kuzitumia pale ambapo ni hutukati kutumia namba yako halisi. Yaani ku'spoof' your real number, lakini huduma hiyo unayotumia namba hizi kwayo isiweinataka verification au kutuma confirmation code sababu hutaipata kwa sasa na badala mpaka baadae nkifanikiwa kuweza kuzisort na kuzifanya ziweusable moja kwa moja na mtu mwingine.
 
Vizuri sana mkuu.... big up lakini bado sijaelewa katika maelezo yako uliotoa, samahan kwa usumbufu hebu tufafanulie vizuri kuhusu iyo software inafanyaje kazi ani....
Alafu iyo link ya Mediafire uloweka ya kudownload haifanyi kazi....

Nimeweka link nyingine mpya baada ya kuedit thread ya mwanzo. Check it..
 
Mada inaonekana ni nzuri, ninakuomba mkuu Andy Kawa ujitahidi kwenye kutoa ufafanuzi (edit thread) ili watu waelewe kuanzia jinsi ya kugenerate hizo number mpaka matumizi ya moja kwa moja ya hizo number.

Mfano kwenye matumizi:
1. Unaiunganisha vipi kwenye simu ili uweze kuitumia (am sure ni softcopy ie haina chip).
2. Unaweza kuitumia kwa kupiga na kutuma SMS?
3. Vocha unaingizaje?
4. Ikitokea uka-generate number ambayo iko hewani tayari, hakuna conflicts na mtumiaji aliyeko hewani?
5. Number hii inaweza kutumika kwa feature phones na smartphones?
6. Unawezaje kuwaepuka TCRA juu ya kuwa traced?

Naomba kuwasilisha hoja.
 
Asante sana kaka kwa swali zuri!

Kwa ningeanza kwa na kutoa ufafanuzi wa jinsi gani hiyo program inagenerate number za simu husika. Kama tunavyojua kuwa kila mtandao wa simu unanamba mbili (za mwanzoni baada ya 0 au +255) kuutofautisha na namba za mitandao mingine - namaanisha kwa mfano TIGO zao huwa ni 065xxxxxxx, 067xxxxxxx, na 071xxxxxxx ambazo huzitofautisha na mitandao mingine kama voda, Airtel na wengine ambao nao pia wanazo zakwao.
Hivyo program hii inatumia mfumo flani wa kuzitengeneza namba hizi kwa kila laini utakayoitaka, na ni mfumo ambao mimi ndo nimeutengeneza kwenye hiyo program yangu.

Namba ya simu imegawanywa katika sehemu tatu;

Mfano: +255-712-123456

1) +255
-Yenyewe inatambulisha ni eneo gani la nchi / kijeografia namba ya simu inapotumika. Mfano hiyo +255 ni kwa namba za Tanzania zipo nyingine za nchi nyingine na kadhalika.

2) -712-
-Namba hizo baada ya +255 zinatambulisha namba hiyo ni ya mtandao gani. Je, ni Tigo, voda, airtel au Halotel au wowote ule.

3) -123456
-Namba hizi ndo za mtumiaji wa mtandao husika wa simu, ni namba ambazo hazijirudii na wala kufanana na mtumiaji mwingine wa mtandao huohuo.

Faida za App hii:
Ingawa kwa sasa namba hizo zinazotengenezwa na app hiyo haziwezi kutumika hewani, yaani huwezi kupokea wala kupiga nazo simu wala kutuma na kupokea message.

Zifuatazo ni baadhi ya matumizi yake:

a) Unapotaka kutengeneza namba nyingi za simu labda kwaajili ya kuonyeshea sehemu flani, mfano labda unakazi/project ya kufanya na unataka kupata namba za simu nyingi tofauti tofauti kwaajili ya kujaza kwenye kazi yako hiyo.

b) Kwenye michezo ya bahati nasibu kama alivosema mwenzetu Machozi ya Simba.

c) Popote pale utakapotaka kutumia kama hutaki kutoa namba yako halisi ya simu. ZINGATIA: Isiwe kwenye mtandao au tovuti wanayotaka confirmation wala verification ya namba ya simu, kwa sababu hutaweza kupokea ujumbe huo wa maandishi.

ONYO: App hii inaweza ikagenerate namba za simu ambazo pia zinatumika na watu wengine, hivo kuwa makini!

Karibu HackerHub | Forum Board
 
Sawa mkuu project yako ni nzuri lakin bado sijaelewa mwisho wa siku lengo la hii project ni nini
 
Mkuu nimekuelewa, asante sana, nimejaribu kwa tigo namba zimeshuka kama hazina akili timamu.

In short ni kwa ajili ya demonstration, thanks mkuu.
 
Yeah kaka!

Ila in the future ntaanzisha service ya kutengeneza fake numbers kwaajili ya kutumia kwenye mitandao ya kijamii na sehemu nyingine.. Nafanya hivi kwaajili ya wale wenzangu wanaopenda kupreserve their privacy!
 
Okay, good idea.

Nimejaribu ku-subscribe kwenye ile link naona inagoma mkuu.
 
Back
Top Bottom